Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Siku moja mtu mmoja aliniuliza kwanini Dr Reginald Mengi ameamua kuoa akiwa Mzee, yeye ni tajiri ni Kitu gani ktk mapenzi ya wanawake ambacho hajawahi kukipata au amekosa mpaka afanye uamuzi huo too late?
Nilimjibu kama ambavyo Mgombea Urais ana miaka 65 nabado ana Ndoto za kuendelea kutusua maisha ya Kipedejee bado ana matumaini ya kuishi like 10 to 20 years ahead, hivyo si vibaya kuchukua Fursa.
Turudi sasa kwenye Mada.
Nimekamatika na penzi jipya, penzi lenye Mashaka, penzi limenyooka.
Ni hivi mwezi mmoja uliopita nikakutana na Mwanadada kwenye viwanja, ni mzuri uso wa kuvutia maji ya kunde, akakaribishwa na Waiter, Viti vilikuwa vimejaa Waiter akamsogeza kwenye Meza yangu na Jamaa ambaye sikujua muda ule. Ile napiga Jicho Tu nikaona Mwanamke ni mzuri wa uso, Hilo likanivuta attention
Alikuwa amevaa T-shirt Form Six Nyeupe na Jeans Dark Blue, muda hiyo ilikuwa yapata Sana mbili usiku.
Nikapiga Jicho kifuani nikaona hapaja jaa Sana( napenda Sana vifua vilivyojaa), nikatulia, kwa Jinsi nilimuona nilijua huyu ni Sugar Mamy, anaonekana ana Mpunga.
Akaagiza kinywaji chake akaletewa, huku Mimi nawaza kweli Fursa hii niiache hivi hivi? Utakuwa ufala huu. Nikamsoundisha stori za hapa na pale nikaona response yake sio mbaya kwa day one.
Nikamuaga nilimwambia natoka kidogo kama 1 hour nitarudi kama nitakukuta nitafurahi, nilienda mahali nikarudi after 1:30hrs hivi nikamkuta. Nikamwambia nimekuja kukuchukua twende pale nje tuongee kidogo.
Lahaulaaa! Vile anasimama Tu , ana mzigo huo, Kibuyu sio kibuyu, ndoo sio ndoo, mtungi sio mtungi, ni mwembamba kifua na Tumbo, na anaonekana umri umesogea kidogo. Nilitetemeka Ndugu wasomaji nilipigwa na butwaa kama nimeopoa jini vile.
Nilijikaza, nikamshika mkono nikamkokota kimahaba hadi tukatoka nje ya geti. Mazungumzuzo yakaanza kwenye utulivu. Nikachukua namba nikaondoka.
Itaendelea baadae!