Ulishawahi kuteseka na mapenzi ukubwani? Sasa nimekamatika.

Mzee wa mbususu uko wapi siku hizi mzabzab ushauri wako unatakiwa huku.
 
"na anaonekana umri umesogea kidogo"
Wewe Ungesema Umejipatia Limshangazi,,Achana Na Mambo Ya Umri Kusogea Kidogo...​

Ep 02

Bada ya kuchukua namba tuliwasiliana na kuanza kuzoeana, tuliongea mambo mengi ya kimaisha na changamoto za hapa na pale.

Alinambia aliwahi kuolewa na Mwanaume ambaye hakujua kumbe Yule Mwanaume alikuwa na Mwanamke Mwingine Hapo Dar Tabata.

Alizaa watoto wawili na Anaishi nao. Kama kawaida Mimi mambo ya Mume wake na Baba watoto Mimi haunihusu huwa siulizi, but cowards do.

Nikaanza kumpenda, Ile deep down, sio y kujifanyisha au ya kugeresha ili ule mzigo hapana, yaani ni Ile mtu anakuingia moyoni kabisa mpaka unazama, nikawaza Mimi BushDokta nimepita milk
ma na mabonde mengi u
Imekuwaje hii?

Bro achana na Umbo lake, ambalo nilipita naye pale G'mboto CRDB hadi waendesha magari wanataka kugongana kwa kuangalia nyuma. Achana na urefu wake na aura yake.
Iko hivi Hana hela kiviile, ana kibiashara chake anakuma maisha mwenyewe.

Ni mpole, mcheshi, Anapenda utani, kicheko chake sasa Mungu wangu wee!!

Usiku silali, haipiti masaa Mawili lazima anipigie simu, Mwanzo nilijua anaigiza, nikimwambia Niko bize anatulia ananiuliza ukiwa free utanijulisha.

Maajabu yake sasa.

1. Ameshawahi Kuishi Kinondoni, Temeke, vingunguti, Tabata, Ubungo, Ilala,NK hii inanifanya nawaza Sana, alikuwa akifanya nini huko? Should I worry about her past?

2. Ajabu la pili, Anapenda kufanywa sijawahi ona, kumbuka ni Mwanamke mwenye mvuto, unajikuta unaliwa( tumekubaliana Sisi Wanaume ndio tunaliwa) mpaka unasema maji maji badala ya ujiuji. Ukikaa siku tatu anakupiga simu tena, njoo na usipoenda anakudai, siku utakayo enda inabidi u compansate siku ambazo hujaenda.

3. Ajabu ya tatu, haombi pesa kabisa, Mimi Sina njaa ndogo ndogo lakini uzoefu wangu kwa wanawake Wazuri huwa ni omba omba, wanajijua utaitoa Tu. Huyu Yuko very Humble.
4. Ajabu la nne, ni kwani Hana Mwanaume pamanenti ikiwa Hana kasoro kubwa kiviile?

Ndio Maana nikasema ni penzi limenyooka lakini penzi la Mashaka

Mwanaume mzima n umri wangu Niko hoi.
 

We piga mashine hayo mengine hayakuhusu mwachie yeye
 
ana mzigo huo, Kibuyu sio kibuyu, ndoo sio ndoo, mtungi sio mtungi, ni mwembamba kifua na Tumbo, na anaonekana umri umesogea kidogo.

Ushamdhalilisha tayari...
Nimetaja Sifa zake, sijamwonesha kwa watu
 
Kwa hiyo umeshajimilikisha siyo! Mwanamke tayari ana watoto wawili na bado unatamka hadharani ni mwanamke wako!
Ni wangu kwa sasa, may be baadae wanachukua wengine lakini kwa sasa nakula neema ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…