Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na simu yake mara kwa mara ukapekuwa kila kitu na bado tu moyo wako ukakwambia hapana kuna kitu hakipo sawa!
Je, Ushawahi kupitia hali hii kwenye mahusiano na ulipita vipi hiyo hali?
Karibu tu share uzoefu
Je, Ushawahi kupitia hali hii kwenye mahusiano na ulipita vipi hiyo hali?
Karibu tu share uzoefu