Ulishawahi kutokumuamini mpenzi wako japo hajakuonesha dalili yoyote ya usaliti?

Wote wanashindwa kukuambia kweli homeboy huyo sio chaguo lako tatizo ulilokuwa halo ni tamaaa za kimwili tu hapo unamtafutia chance akikuzingua unammwaga (aliye chaguo lako uwezi kuoomba ushauri huo point wewe gonga ukimchoka mkimbize simple tu homeboy )
 
Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na simu yake mara kwa mara ukapekuwa kila kitu na bado tu moyo wako ukakwambia hapana kuna kitu hakipo sawa!

Je, Ushawahi kupitia hali hii kwenye mahusiano na ulipita vipi hiyo hali?

Karibu tu share uzoefu
Kifupi tuu ndo zangu mie!! huwa napiga simu kabisaaaa ''hoya nakuja niko chalinze hapa pika kabisa!! nakuja kula nina njaa''! basi anafurahiiiii!! anaweka nakalimbwata kake! kwa raha zake wajameni wanaume tunarogwa sana!
 
Wanawake wapuuzi sana mkuu.
mlishaambiwa ishini nao kwa akili wewe bado unalialia hapa!mfyuuuxxcxcx!! mnaboa sana!!! wafanye hao kuwa km midoli tu!!....ata likinyeshewa hapo sawa tu!! utaliingiza ndani mvua ikiisha!!

hata likienda na maji ya mvua relux utalikuta msimbazi huko! libebe tena ukiliona! usipoliona jua tu limdoli langu lilipotea na maji ya mvua! basi...
 
Mhhhh!!!, Mbona ume over react??
 
Wote wanashindwa kukuambia kweli homeboy huyo sio chaguo lako tatizo ulilokuwa halo ni tamaaa za kimwili tu hapo unamtafutia chance akikuzingua unammwaga (aliye chaguo lako uwezi kuoomba ushauri huo point wewe gonga ukimchoka mkimbize simple tu homeboy )

Jinsi ulivyo Genius nitashangaa sana ukiwa mshabiki wa utopolo [emoji28][emoji28](jokes)
 
Trust me!! Hizo feelings mara nyingi huwa zina ukweli......mara nyingi huwa zina ukweli....

Utaniamini siku utakapomuamini.
 
Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na simu yake mara kwa mara ukapekuwa kila kitu na bado tu moyo wako ukakwambia hapana kuna kitu hakipo sawa!

Je, Ushawahi kupitia hali hii kwenye mahusiano na ulipita vipi hiyo hali?

Karibu tu share uzoefu
Kifupi mwanamke hachunguziki. Binafsi huwa namwambia tu linda heshima yako ili niheshimike basi. Simu yake ni ya kagoli ketu. Ikiita yuko mbali napokea, naongea na mteja, basi.

Kuna mke wa mtu anachepuka. Lakini simu anaweza kushinda nayo mumewe na asione text wala call ya kuashiria kuchepuka. Jiulize anafanyaje?

Simu si msaada kamili kujua mwenendo wa mkeo/kimada wako
 
Back
Top Bottom