Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Wivu sehemu ya kupenda
Ndo dalili za wivu mkuuSijazungumzia wivu mkuu,bali ni ile hali ya kuwa na hisia kwamba kuna kitu hakipo sawa japo muhusika hajakuonyesha dalili yeyote mbaya
Hiyo ni insecurity. Kutokujiamini.
Mwanaume usipojiamini mtoto wa kike lazima akudharau.
Lakin pia inatwa guts feelings au machale. Maybe yes kuna jambo. Lakin relax.. with time utagundua ukweli
leta kisa chako kwanza
Na hautakiwi kumuamini....Kisa changu ni kwamba huwa inaniwia vigumu sana kumwamini Mwanamke ambaye nipo kwenye mahusiano nae ,leta na kisa chako mkuu
Jitahidi kutafita hela kijana uje ge maisha yako .. wanawake hawaeleweki kiujumla .. pia jifunze kutokupenda buli uwe unapendwa weka mguu ndani mguu nje
Na hautakiwi kumuamini....
Muamini at your own risk, wataalamu wa ushauri na mambo ya mahusiano tupo, tutakushauri
Washauri wenyewe mmeshachanganyikiwaNa hautakiwi kumuamini....
Muamini at your own risk, wataalamu wa ushauri na mambo ya mahusiano tupo, tutakushauri
Washauri tupo fiti, tupo standby tunasubiri kesi za wapendanaoWashauri wenyewe mmeshachanganyikiwa
Basi tuite uhanithi mkuu!!!!!Sijazungumzia wivu mkuu,bali ni ile hali ya kuwa na hisia kwamba kuna kitu hakipo sawa japo muhusika hajakuonyesha dalili yeyote mbaya
Sasa kama huna imani na mtu kwa nini unaendelea kuwa naye?