Ulishawahi kuwa addicted?

Ulishawahi kuwa addicted?

Itabidi tuwe marafiki mkuu ili na mimi niwe nanufaika kwa kuiazima iyo kitu maana ni ulevi wangu mkubwa mno
jamaa kwa huu mzuka si utampiga changa huyo mwenzako! nna mashaka na wewe unaweza ukaazimwa hlf usirejeshe tena...
 
nilikuwa adct wa game, movie na pombe thanks god nimeacha ila sasa internet na pesa yani nikikosa hata buku mfukoni ninakuwa na mawazo mpaka watu wana nishangaa
 
Aisee novel na music hata nikiwa lecture room lazma nichomeke earphone moja sikion bila kusahau cha mmasai mdomoni[emoji3]
 
Nipo addicted na nanii.
Si unajua nanii inavyonanii haswa ukinanii.
Yaani nashindwa kabisa kuacha.
Siwezi kukaa bila kunanii kabisa.
 
Addiction na JF,Instagram ubuyu,,,facebook,yaani nikivikosa hivi vitu nakuwa kama mtu ambae amekosa sigara,lol
 
Mi Niko addicted na simu yangu, sababu internet.

Nina mpango wa kumiliki ya kurunzi ili nipunguze hii addiction
 
Aisee sio mchezo Mimi addiction yangu ni kuchart sana ujumbe mfupi wa maneno huwa silalagi kabisa usiku kucha
 
Niko addicted na kuwa mpweke, yaan napenda nikae peke angu all the time, Sitak kampan, marafik, etc.
 
Eeee kwa Tuuyuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Addiction ya PlayStation (FIFA) bwana, raia znaingia crib ijumaa znatoka jumapili jioni
 
Back
Top Bottom