Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na mtu usiyempenda?

Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na mtu usiyempenda?

Mimi hapa,
Niko kwny mahusiano na Mchepuko wangu, mwaka wa 3 Sasa ila simpendi kabisa kutoka moyoni wala Nini.

Ila niko nae kwasababu ananifikisha vizur kileleni, Tena Raha mustarehe kabisa and not otherwise [emoji4]
Vp mpalange anakupa nini haha..coz najua wife huwez muomba
 
Muda mrefu ..sijawahi na siwezi
 
Yaan Iko hivi, anirekebishe tu lakin kama anaona Hani feel Tena ajaribu tu kuniacha kiume,,,loooh inauma jaman mtu akuambie kabisa eti mm sikupendi Tena Bora apunguze mazoea then nitajiongeza...mapenzi hayajawahi acha watu salama
inaelekea mtu akikwambia hivyo hushindwi kumwagia maji ya moto
 
Habari wa JF.

Mwezi wa tatu unakimbia kwa kasi sana.

Hivi ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu usiyempenda kabisa tena kwa muda mrefu. Au hata kuingia naye kwenye ndoa.

Binafsi ishanitokea nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye sikuvutiwa naye. Kama ilivyo slogan yangu huwa nahuruma sana. Usumbufu wa mwanamke unaweza kunifanya nibadiri jibu hapana kuwa ndio sababu tu ya huruma.

Nakumbuka nilishawahi kumtongoza mwanamke ambaye tuseme nilimtamani kwa muda mfupi. Ila nilikuja kugundua sikuwa nimempenda. Nimedumu naye kwenye mahusiano miezi miwili tu. Mwisho wa siku nikaona kama namuumiza na kumpotezea muda. Nikaamua nimweleze ukweli japo aliumia sana.

Aliniomba nimpe muda atanifanya nimpende na niwe na hisia naye. Lakini nilimsihi yakuwa sitaki kuendelea kumuumiza.

Ndipo ukawa mwisho wa mimi na yeye.

Je, nawe ishakukuta au kukutokea hii..?
Duuuuuh
 
𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐢𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐡𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐦𝐰𝐚𝐤𝐚 𝐰𝐚 5 𝐲𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐞𝐲𝐞 𝐚𝐦𝐞𝐤𝐨𝐦𝐚𝐚 𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐦𝐮𝐨𝐚 𝐲𝐮𝐩𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐨𝐤𝐨𝐥𝐞 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐭𝐮,
𝐧𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐧𝐢𝐳𝐢𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐢𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐝𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐢𝐧𝐚𝐲𝐞𝐦𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐨 𝐡𝐚𝐲𝐚𝐝𝐮𝐦𝐮 𝐥𝐚𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐝𝐞𝐦𝐮 𝐚𝐭𝐚𝐣𝐢𝐯𝐮𝐫𝐮𝐠𝐚 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐭𝐮 𝐦𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐦𝐨𝐲𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐡𝐚𝐮𝐧𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐦𝐛𝐚
Daaaaaaahhh🙌🙌🙌🙌🙌 ama kweli moyo wako umekuwa wa baridi
 
Back
Top Bottom