Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Kajaa tele, vipi unataka kucheat na mimi? Usijali, tutafanya siri.................

we wewe! bado cjaona umuhimu wa kucheat, ila nimeona cv yako hapo kwenye mambo ya kucheat ndo maana nauliza mama matesha yumo? basi nampa Phd ya uvumilivu
 
Daa Xpin we kiboko..Umeshaacha kucheat au bado unaendelea?hivi unajisikiaje unapomcheat mpenzio?na unatubutu kuzungumza with all confidence...
 
Hapa kuna mtu ananitafuta....

Nyamayao twen zetu bibie tukale 'makange' mida hii......:hug:
 
haya bwana. Mimi tangu niseme "i do" nathamini kile kiapo, ndicho kinachoniongoza, sijacheat, na sitacheat.

Kwa hiyo hapo ulicheat sio? Kwa nn usinge subili mpaka harusi?

Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2000 watoto waliopimwa DNA 60% wazazi wao wa kiume sio halisi, wake zao wamewabambikia
 
I was all virgin Mary b4 marriage...and I never lose control over my sexuality, I have stayed clean all these yrs of marriage...
 
Mimi nimeoa na ndoa yangu inamiaka 6 nilipata majaribu katika mwaka wa pili na kucheat mara moja tu na binti ambaye hata siku ya hukumu naweza kusamehewa kutokana na alivyoumbika. Ila nimeungama sasa sifikirii kucheat.
 
Daa Xpin we kiboko..Umeshaacha kucheat au bado unaendelea?hivi unajisikiaje unapomcheat mpenzio?na unatubutu kuzungumza with all confidence...
We hujawahi kucheat? Ndio mada inayojadiliwa hapa.............
 
Carmel Samaha mbona suala la kucheat unangalia kwa mlengo wa upande wa wanaume tu?Wakati mpaka hivi tunavyoongea asilimia 75% ya watoto wazaliwao leo ukiwapima DNA si wa wababa wanaosemwa na kuwa ni wao?

Pia kwa nini wewe umejiweka mtakatifu kuwa hujawahi kucheat na badala yake unasema ulicheat ukiwa single?

Tatu unasema kuwa unatafuta takwimu lakini pindi mtoa hoja anajibu wewe unakuwa na hukumu ya mojamoja kwa moja kuwa alitenda vibaya?

Anyway nawe pia twambie umcheat mara ngapi na jaribu kuwa mkweli kama unataka utafiti wako ufanikiwe.
 
I was all virgin Mary b4 marriage...and I never lose control over my sexuality, I have stayed clean all these yrs of marriage...
Wow! So how was it in the first day? Did you find your hubby virgin too?
 
hii statistic umetoa wapi?
 
naona mnaogopa why? just say the truth people.

Halafu watu wakishakwambia kweli ndiyo iweje? Concentrate kwenye maisha yako badala ya kutaka kufuatilia maisha yasiyokuhusu? Umetumwa kuwapekua pekua watu hapa? Watu wengine bwana!!!!!
 
me sijawahi kucheat mume wa mtu na nina bikira yangu na nina mchumba tunasubili mpa siku ya ndoa ndo tule tunda
 
Wow! So how was it in the first day? Did you find your hubby virgin too?

Chrispo bana...u want me to draw it for u? nipe kalam na karatasi.... no i didnt expect him to be lolll
 
Halafu watu wakishakwambia kweli ndiyo iweje? Concentrate kwenye maisha yako badala ya kutaka kufuatilia maisha yasiyokuhusu? Umetumwa kuwapekua pekua watu hapa? Watu wengine bwana!!!!!

Ni hiyari!

Kama hutaki "kupekuliwa" hii mada umeifungua ya nini?

Mbona unakiogopa kivuli chako mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…