carmel
Nipo ndani ya ndoa yapata 15yrs
Nimewahi ku-cheat tangia tukiwa wachumba - a number of times (yes 100 +)
Nimewahi ku-cheat ndani ya ndoa - a couple of times (4 times to be precisely)
Na it seems chances za kuendelea ku-cheat zipo (i can not gurantee that I will not cheat till death do us apart NO)
For sure hakuna anaye-enjoy ku-cheat but cheating is part of life hasa hasa kwenye ndoa. Wanajamii wanaona aibu lakini kama unataka kufanya utafiti tembelea sehemu za starehe kama vile BAA, CASINOS, e.t.c, huko utapata ukweli kuhusu jinsi gani jamii ilivyo. Kwa mfano hapa Bongo, chukua weekend moja amabayo upo huru - inategemea unaishi sehemu gani ya Dar es Salaam - jaza petrol/diesel kwenye gari yako anzia mabaa/nyumba za kulala wageni (Mkuranga mpaka Bunju). Ikifika jioni unaweza kuapata taswira halisi.
Tatizo ni kwamba hata kwenye nyumba za ibada hakuna majibu ya "Why do people cheat"?
Kwahiyo: Cheating is HERE TO STAY and we only have to PLAY SAFE