Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Na wewe eti ni great thinker! hakuna unachowaza zaidi ila kupekua pekua maisha yasiyowahusu! People with simple minds....

Na hapa nakuona weye mwenye great mind.........Well sitabishana na mjinga :target:
 
hapa greti thinka limeongea kwa hasira kweli. heheeh inawezekana hela ya cafe imemaliza na bado linataka kupost yuziful post ndio chanzo cha hasira zake. au labda fomu zake za kugombea ubunge hazikupokelewa jimboni/bungeni.

ah klorokwin dawa ya malaria. afadhali umetokea, maana kuna watu wana hasira utadhani wametoka kufumania, wallah ningekuwa karibu naye angenipiga kofi lol. anatamani kuboboa monitor yake.
 
Am not married na sijawahi kuwa na mahusiano na mtu mwenye ndoa.
 
The boss nasubiri kura yako (ha ha ha)
 
ah klorokwin dawa ya malaria. afadhali umetokea, maana kuna watu wana hasira utadhani wametoka kufumania, wallah ningekuwa karibu naye angenipiga kofi lol. anatamani kuboboa monitor yake.

hehehe kuna watu wanasahau kwamba hapa tupo kwenye maigizo kama kanumba vile, yaani jamaa kapandisha mihasira kama ya mheshimiwa rais siku ya hotuba ya mgomo wa tucta. jamaa angekuwa MOD nina hakika ungekula ban mpaka krismasi hehehe
 
Am not married na sijawahi kuwa na mahusiano na mtu mwenye ndoa.

Hata sura yako inadhihirisha kwamba wewe bado msichana mdogo, kuwa na uhusiano na mijibaba mi-mtu mzima isingekufaa.
 
Mh hii mada imefika huku?? samahani da Carmel hivi flirting nayo inahesabika kama cheating??
 
Kabla ya ndoa nilizini na wanawake (60), kwenye uchumba nilizini na wengine (10), katika ndo sijazini na sasa nina miaka saba sitaki presha mie zilizokuwa zinanipata wakati nawapanga wasigongane
 
Carmel rafiki hope hutajali kama nitaendelea kukaa kimya sawa ee:A S 465:....
 
Carmel rafiki hope hutajali kama nitaendelea kukaa kimya sawa ee:A S 465:....

heheeh bora kaa kimya, festiledi akisema kacheat inabidi rais ajiuzulu. KIMYA CHAKO NDIO USALAMA WA TAIFA LETU.

Kidumu chama cha mapinduzi!!!
 
Carmel rafiki hope hutajali kama nitaendelea kukaa kimya sawa ee:A S 465:....

kwanza all this time nilikuwa sijajua kama ni wewe one n only first lady. nimegundua late sana lol. maana humu ma first ladies nao wengi mno siku hizi na ulivyobadili avatar ukanipoteza kabisa. anyway , you are excused, najua mada kama hizi huwa unatoa no comment ha aha
 
Carmel, Am single, na sijawahi kungono na mwanandoa yeyote

Sijashindwa kungono nao ila sitaki maana nataka ndoa yangu itakayoanza mwakani Mungu akipenda isitokee jambo kama hilo mpaka kifo kitapamkumba mmojawetu
 
Back
Top Bottom