Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are definetely not my type, so arguing with you is wastage of my time. you dont even know what you are saying. You are full of bitterness and stress. take a break pal, drink a glass of water and go to sleep. you will be fine when you wake up and thats when you will realize men dont dont talk like that unless they are gays.😛ainkiller:
Kama wewe ni married sema ' Mimi ni married na nimesha wahi kucheat mara kadhaa''.QUOTE]
My friend Carmel, sikutaka kuchangia humu ila ngoja niseme tu.
6 months baada ya kuoa, niliamua kugeuka jiwe na kuanza ku''cheat'' kidogo na mabinti kama watano tofauti lakini bahati mbaya sana wote nilipata same experience.
Baada ya kufanya mambo, usumbufu uliofuata ulikuwa mkubwa mno - flashing za ovyo ovyo bila mpangilio, hata usiku nikiwa na my wife wangu, message zinatumwa bila mpangilio, mizinga isiyo na mpango etc etc. Yaani nilikuwa nakosa raha na uhuru, especially ninaporudi home. Baada ya kufikiri kwa muda nikagundua na kuamua kuwa haina maana yoyote kuendelea na maisha yale wakati nina kitu ndani.
So, since then, nipo clean!
Kujua tu watu wangapi wamecheat, mara ngapi, na mke/mume wa mtu etc sio issue sana, nadhani baada ya ''poll' yako, then tuje uanzishe poll nyiingine na kutafyta why watu wanaamua ku ''cheat''. Ni tamaa za kawaida tu, ufisadi (yes!), opportunity imejitokeza, shida, kutotosheka ndani ya mahusiano yao, tabia tu etc
Am not married na sijawahi kuwa na mahusiano na mtu mwenye ndoa.
kilichokufanya ucheat kwenye ubachela n niniNdoa yangu ina miaka 4 sijawahi kucheat kwenye ndoa. ila huko nyuma kwenye ubachela nimeshawahi kucheat
...... Mimi na my hubby tuliweka kanuni kwamba kama mmoja wetu atakuja cheat basi ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.
Si mpaka ujue kama kacheat au umkamate live!?
Kuna watu hata wakibambwa, wanasema it wasnt me!
............Mwenzako akicheat lazima utaona dalili tu, hivyo akicheat no discussion ni divorce tu.
......Sijawahi cheat na wala sitokuja kucheat, ndoa yangu almost ni miezi 6 sasa. Na kabla ya ndoa mimi na my hubby tuliweka kanuni kwamba kama mmoja wetu atakuja cheat basi ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.
............Mwenzako akicheat lazima utaona dalili tu, hivyo akicheat no discussion ni divorce tu.
kwa mlioko Marekani na mnajua mmewahi kucheat mnayo haki ya kutojibu swali hili kwa mujibu wa Mabadiliko ya 5 ya katiba ya marekani! - so mnaruhusiwa kusema "I plead the fifth" in the tradition of Dave Chapelle! Kumbuka lolote utakalosema hapa ukipuuzia haki yako hiyo laweza na litatumiwa dhidi yako kwenye mahakama ya chumbani.
Kwa upande wangu, I plead the fifth!
Sijui jinsi ya kuweka poll hapa, hope mods will do the needful.
Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na wenza wao. (cheating). Na pia kwa wale ambao ni singles, wangapi wamesha cheat na waume au wake za watu? Kuweni free tu ili tujue statistics za hapa Tz kwenye hili swala, tusibishanie maneno. Kwa vile wengi sana wanasema its normal to cheat i hope hatutaogopa kuvote hapa.
Kwa mfano. kama wewe ni single sema "mimi ni single sijawahi au nimewahi kucheat na mke au mume wamtu"
kama wewe ni married sema ' Mimi ni married na nimesha wahi kucheat mara kadhaa"
Pia addition information unaweza kutueleza uliewahi kucheat naye ni same person au different people over a certain time, hata sababu zilizokupelekea kucheat pia would be appreciated. Je spouse wako alijua, aliwahi kuhisi au amelala usingizi wa pono, yani hajui kinachoendelea.
Tuwe wakweli basi. thanks.