Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
hahaha hii mada inanikumbusha mwalimu mmoja alikuwa yuko bar, sasa kabla ya kuanza unywaji akamuomba mungu, dua yake ilikuwa hivi " Eeeh Mola naomba ubariki kinywaji hiki, ila naomba ukijalie kiiende kichwani ili kinifanye nifikiri vizuri zaidi, bali kiepushe kisishuke katikati ya mapaja maana kitaniharibia ndoa.. amen" . Nimekumbuka maana jamaa alikuwa analinda ndoa hata kwenye ulabu!