Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Hii kitu ni ngumu sana kujisema, kwa kawaida nadhani kila afanyae kosa na anajua kuwa ni kosa hayuko tayari kuliweka hadharani, thats why huwa tunasubiri mpaka tukamatwe ugoni, after all anayewajibika kutuhukumu ni mungu na ndo maana tunaungama kupitia kwake sidhani kama hata mtu akisema itamsaidia zaidi ya kumdhalilisha.
 
mimi nipo sijaoa, lakini napenda kutoka na mademu wanaonizidi umri,wanene kiasi hasa makalio na upaja, warefu kwa sana, sasa nina girlfriend ananizidi 10yrs, yaani nimekufa sina hali, huyu ni wa saba sasa, lakini nashangaa kwanini napenda watu wakubwa tuuuu?
Dogo umeanza kulala na wamama ukiwa na umri mdogo na sasa umenogewa teh teh teh kaaaaaaaaaaaazi kweli kweli. WEnzio pia tuna ugonjwa wa kupenda dogodogo ama kweli aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi.
 
this is a very useful post, is it possible to have mods do the polls, as people wouldnt like to come out and declare but polls will show us the trend and then maybe for those interested we can then discuss the statistics and try to understand the meaning and wisdom behind the big infidelity !
 
Are you serious? are you expecting anything good to come out of infidelity?
 
  • NDIO

    17 50.00%
  • HAPANA

    17 50.00%
Ngoma droooooooo! and the counting continues!
 
Mimi sijaoa, lakini nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu tena mshkaji wangu sana huyo jamaa. Na huyo shemeji alijitongozesha mwenyewe, alianza kunisifusifu misifa ambayo sina uhakika ninayo, na kwa bahati mbaya hata yeye ni mzuri sana anavutia na kutamanisha sana, mwisho tuseme alinipata na tukaendelea for 2 years bila mumewe kujua. Na hata nilipokuja kuachana naye mumewe hakuwa amegundua. Na alining'ang'aniza sana kwenye huo uhusiano, hakutaka tuachane kabisa. Lakini kuna hofu fulani iliniingia pamoja na guilt hasa tunapokutana na mumewe katika shughuli zetu, nikawa najisikia vibaya sana, so finally nikamwacha. Sikuwa na girlfriend nilipokuwa na huyo shemeji. Nadhani wadau mnakubali sijawahi ku-cheat.
 
Sorry when I say devalue I didnt mean other ppl will devalue u,,,, I meant by doing so u will be degrading urself ...

So what exactly are u looking into a relationship if I may ask... sex? money?

Being a woman myself I know what we are really looking in a relationship... a woman looks for much more than sex or money in her man. She looks for stability, reassurance, understanding, friendship, help around the house, someone to lean on and a shoulder to cry on.... now if u r getting urself into a contract with a married man how will u get all that?

Mie naona nyie ndio mnachezewa na hao wanaume... they get what they want and then u r nobody to him....after all u was just an escape...if things get well in his house he will not want to hear or to know u....

...and if i play my cards right,he will forget his wife and his damn family....!!!

.....being a mistress doesnt mean am less of a woman,so long as i give your husband what he wants from me,i will make sure i get what i want from him,this be money,sex ama stability,reassurance and other things you mentioned!....married men are good providers of all these otherwise hii biashara ya nyumba ndogo isingeshamiri....
Rose... You sure will get what u want but for u to buy ur happiness on the price of other person's happiness is wrong, I am sure eventually u r gonna pay the highest price for doing so... remember what goes around comes back around...

nikama unasema nabomoa nyumba yako ili nijenge yangu... WTF? U r so dead b4 u reach near my house....
 
mke wa mshikaji wako ni zaidi ya kucheat!
 
..what is rite for you,might not beneccesary rite for me....you can call the whole process wrong,since its you who loose in this game but akina da sopphy wins....

...happiness if is what you get from somebody s' husband ,now you want me to leave all these just because am feeling sorry for his damn wife??you better play your cards right as a wife,and forget about playing sympath game,because you will get none!!!not from da sopphy not from your husband who decide to cheat on you on the first place....

hahaha huo mfano wa nyumba umenichekesha,if there is no space i might as well bomoa nyumba yako,what do you want me to do nijenge on top of your house no?!...cha kunifurahisha,ni kwamba ninapata full suport from your husband kny kubomoa hio nyumba,,,,,you might be well pleased to hear this..LOL
 
this is a very useful post, is it possible to have mods do the polls, as people wouldnt like to come out and declare but polls will show us the trend and then maybe for those interested we can then discuss the statistics and try to understand the meaning and wisdom behind the big infidelity !

kisanduku cha kura tayari kipo hapo juu, 'scroll up' upige kura yako.

shukran.
 
..what is rite for you,might not beneccesary rite for me....you can call the whole process wrong,since its you who loose in this game but akina da sopphy wins....

...happiness if is what you get from somebody s' husband ,now you want me to leave all these just because am feeling sorry for his damn wife??you better play your cards right as a wife,and forget about playing sympath game,because you will get none!!!not from da sopphy not from your husband who decide to cheat on you on the first place....

hahaha huo mfano wa nyumba umenichekesha,if there is no space i might as well bomoa nyumba yako,what do you want me to do nijenge on top of your house no?!...cha kunifurahisha,ni kwamba ninapata full suport from your husband kny kubomoa hio nyumba,,,,,you might be well pleased to hear this..LOL

....duuuh, hehehe....inaonekana Roselyne1 ukimpata mume wa mtu 'unamkamata kuroho!', mkewe na wanawe warie tu,...ha ha ha...safi sana mama'ke kwa uwazi na ukweli huu...

damn, ndio maana naogopa nyumba ndogo.

Carmel, haya tayari nishatumbukiza kura yangu hapo juu, naona 'tunazidiana' kwa kura kila siku, kumbe watakatifu sio wengi kiviiiile? LOL.
 
Mimi sijaoa, lakini nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu tena mshkaji wangu sana huyo jamaa. Na huyo shemeji alijitongozesha mwenyewe, alianza kunisifusifu misifa ambayo sina uhakika ninayo, na kwa bahati mbaya hata yeye ni mzuri sana anavutia na kutamanisha sana, mwisho tuseme alinipata na tukaendelea for 2 years bila mumewe kujua. Na hata nilipokuja kuachana naye mumewe hakuwa amegundua. Na alining'ang'aniza sana kwenye huo uhusiano, hakutaka tuachane kabisa. Lakini kuna hofu fulani iliniingia pamoja na guilt hasa tunapokutana na mumewe katika shughuli zetu, nikawa najisikia vibaya sana, so finally nikamwacha. Sikuwa na girlfriend nilipokuwa na huyo shemeji. Nadhani wadau mnakubali sijawahi ku-cheat.

Yaani wewe hufai kabisa! Umemtafunia mshkaji wako mkewe for 2 years eti kisha kajitongozesha mwenyewe? Unadhani wewe ni wa kwanza kupendwa na kutongozwa na mke wa mtu?

Kuna wanawake wanaweka mpaka majaribu ya kutoa pesa ndefu lakini bado msimamo wa kuheshimu wake za watu unabaki pale pale! Put yourself into your friend's shoes and feel how they hurt!
 
..what is rite for you,might not beneccesary rite for me....you can call the whole process wrong,since its you who loose in this game but akina da sopphy wins....

...happiness if is what you get from somebody s' husband ,now you want me to leave all these just because am feeling sorry for his damn wife??you better play your cards right as a wife,and forget about playing sympath game,because you will get none!!!not from da sopphy not from your husband who decide to cheat on you on the first place....

hahaha huo mfano wa nyumba umenichekesha,if there is no space i might as well bomoa nyumba yako,what do you want me to do nijenge on top of your house no?!...cha kunifurahisha,ni kwamba ninapata full suport from your husband kny kubomoa hio nyumba,,,,,you might be well pleased to hear this..LOL
Rose who told u am that kind of woman who gonna accept defeat easly? Like I said before u r not getting near my man and u r so dead b4 u reach near my house lolllll :laser:... I wasnt playing no sympathy game, lakini nilikuwa nataka nijue motive ya kina Da Sophy....

Having said that I doesnt mean that I will be wasting my energy and time fighting for a bloody man who doesnt respect himself.. if he is a wh0re am sure he would rather live with his wh0re than me... i will be so finished with him...

What u mean by u better play ur cards right as a wife? r u trying to say its a woman's fault if her man cheated on her?

This is not true.

I personally know quite a few men who have admitted to cheating. I like talking to them about it because the male mind is intriguing to me. I like to know what drives them to do certain things and how they think and come to certain conclusions.

Some cheat because they feel neglected. Some cheat because they think they deserve better. Some cheat to feel that they still can pull a young woman. And some cheat just for the hell of it. Just for the fun, the risk the excitement and the thrill.

Same reason people rock climb, or jump out of planes. It doesn't mean they don't like standing on the ground.. it's just that they're used to standing on the ground and it doesn't make their heart race.

Most often then not, the wife has nothing to do with it.. they claim to love their wives, they will stay with their wives for as long as they don't get caught.. to many who do cheat.. it's a game. A very exciting game.

When they DO get caught, they will most obviously blame their wives. But that's just to have someone to blame for their own recklessness.
 
mke wa mshikaji wako ni zaidi ya kucheat!

Ni uuaji; Yaani MtuB utubu sana kitendo ulichofanya ni sawa na uuaji; mwenzio mmoja alikuwa anamuibia rafiki yake kama wewe na mambo yaliponoga wakaona wammalize kabisa jamaa kwani ana mali kidogo bahati mbaya waliotumwa kwenda kumaliza kazi wanamjua vizuri jamaa na kwa kuwa ni mtu wa watu hawakuitekeleza ile kazi na badala yake walimchomea utambi na kesi ilifika mpaka polisi ; jamaa mtu wa watu ameamua kusamehe na kuachana na mkewe; mke na shemejie wametokomea hawajulikani walipokwenda (njia tofauti)! Sidhani kama huyo mwizi atakaa aishi vizuri!
 
....duuuh, hehehe....inaonekana Roselyne1 ukimpata mume wa mtu 'unamkamata kuroho!', mkewe na wanawe warie tu,...ha ha ha...safi sana mama'ke kwa uwazi na ukweli huu...

damn, ndio maana naogopa nyumba ndogo.

Carmel, haya tayari nishatumbukiza kura yangu hapo juu, naona 'tunazidiana' kwa kura kila siku, kumbe watakatifu sio wengi kiviiiile? LOL.

ucjaribu, cku unajaribu ukikutana na mtu kama rose hapo utasahau kunyumba.....
 
....duuuh, hehehe....inaonekana Roselyne1 ukimpata mume wa mtu 'unamkamata kuroho!', mkewe na wanawe warie tu,...ha ha ha...safi sana mama'ke kwa uwazi na ukweli huu...

damn, ndio maana naogopa nyumba ndogo.

Carmel, haya tayari nishatumbukiza kura yangu hapo juu, naona 'tunazidiana' kwa kura kila siku, kumbe watakatifu sio wengi kiviiiile? LOL.
Usijaribu tena hata kufanya urafiki nao hawa....
 
Back
Top Bottom