Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Najaribu kufanya Takwimu mazingira haya niliyopo sasa na watu ninaowafahamu naona kama 85 % wanaume wanacheat..15% wanawake wana-cheat ...

Simple logic ni hii: Mwanaume akianza ku-cheat, mke anaanza kutopewa huduma ya ndoa ipasavyo. Mume ataanza kutoa huduma ili mradi kutimiza wajibu na wakati mwingine visingizio vya kuchoka. Mama mwenye uhanga akiguswa kidogo tu lazima aingie kwenye line ya ku-cheat. Kama asilimia kubwa ya wanaume wana cheat kiasi kwamba wanashindwa kuhudumia wake zao ama wanashindwa kuwatosheleza wake zao, hapo ndipo asilimia ya akina mama wanaoingia majaribuni inapoongezeka.

Sijui kwa nini haturidhiki na tulivyonavyo?

Hapa wenye kasheshe ni wanaume, nadhani ndio chanzo cha yote. Wanaume tumeumbwa na tamaa, na wengi wetu tunashindwa kuji-control. Mwanaume hata akiwa na mwanamke mzuri kiasi gani, kama hawezi ku-control tamaa zake za mwili he will end up cheating. Kiwi cha macho!

Wanawake walio wengi huwa wana cheat kwa sababu ya kukosa huduma ndani ya ndoa/mahusiano au kama huduma anayopewa ni hafifu akilinganisha na kule alikowahi kupita na haoni kama kuna uwezekano wa kukaa chini na mwenzi wake ili wajadiliane namna ya ku-improve hiyo huduma.
 
haya mambo ndio yanatufanya wengine tushindwe ingia kwenye ndoa, balaa tupu, hasa kwa sisi wenye utajiri wa wivu
 
What do you mean so???? did you even read what she asked...if not here you go...Labda ujaelewa!

Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na wenza wao. (cheating). Na pia kwa wale ambao ni singles, wangapi wamesha cheat na waume au wake za watu? Kuweni free tu ili tujue statistics za hapa Tz kwenye hili swala, tusibishanie maneno. Kwa vile wengi sana wanasema its normal to cheat i hope hatutaogopa kuvote hapa.
Kwa mfano. kama wewe ni single sema "mimi ni single sijawahi au nimewahi kucheat na mke au mume wamtu"
kama wewe ni married sema ' Mimi ni married na nimesha wahi kucheat mara kadhaa"
 
Are you serious? are you expecting anything good to come out of infidelity?

for sure if there is nothing good coming out of it, then people will stay the hell out of it ! from the JF polls alone it shows infidelity is the order of the day, we shouldnt deny the problem by running away from it and condeming it with all known names, we should understand why it is there to be able to attack it..am not advocating for it ( infidelity ) but if you dont get to the root of the problem then you will never understand why people do it, you will remain with baseless reasons that everyone tries to construe in their minds, i am a married woman and i thank God that i havent been subjected to it yet and see no signs of it whatsoever ( this is for today ) and my marriage of 8 years with 3 kids...i however understand that there is WISDOM behind it, now do i hear someone shouts TRAITOR ! at me ? for this case, so be it ~~!!!
 
Marriage Man with boys kuna wife wa mtu alikuwa kama waifu wangu kabla ya kuoa , maana kila mara nilimpata na naamini nilikuwa namchosha saana lakini baadae nikaona si sahihi nikalazimisha kuua uhusiano ingawa ilileta ugomvi mkubwa saana mpaka nikabadilisha namba za simu , cha ajabu siku mmoja nikakutana na Mume wake na kujua ni mshkaji ila alipooa mimi sikujua na alivyoniambia amemuoa nani mpaka leo napiga chenga kumtembelea kwake wakati mwingine wizi mbaya but i had great time with that woman she was Great on Be.......d !!

Kiongozi kama nakufahamu...
 
Nategemea karibuni kuingia ndoani sijawahi-cheat...
Ila hali inavyoenda nahitaji zaidi ya Maombi...
 
Sijui jinsi ya kuweka poll hapa, hope mods will do the needful.

Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na wenza wao. (cheating). Na pia kwa wale ambao ni singles, wangapi wamesha cheat na waume au wake za watu? Kuweni free tu ili tujue statistics za hapa Tz kwenye hili swala, tusibishanie maneno. Kwa vile wengi sana wanasema its normal to cheat i hope hatutaogopa kuvote hapa.
Kwa mfano. kama wewe ni single sema "mimi ni single sijawahi au nimewahi kucheat na mke au mume wamtu"
kama wewe ni married sema ' Mimi ni married na nimesha wahi kucheat mara kadhaa"

Pia addition information unaweza kutueleza uliewahi kucheat naye ni same person au different people over a certain time, hata sababu zilizokupelekea kucheat pia would be appreciated. Je spouse wako alijua, aliwahi kuhisi au amelala usingizi wa pono, yani hajui kinachoendelea.
Tuwe wakweli basi. thanks.

Charity begins at home! Tuanze na wewe? Na utujibie maswali hayo hayo uliyouliza hapo juu?
 
Wewe usingeshuka jukwaani kwa kuishia kutoa mifano tu, ungeanika na data zako kwanza ili nasi tufuatie. Anza sasa.
 
...haiwezekani/Inawezekana kuishi bila kumdanganya Mkeo/Mumeo/Mchumba wako kwa 100%?

mfano;
  • kudanganya unapochelewa kurudi nyumbani?
  • kudanganya mapato na matumizi yako?
  • kudanganya kuridhishwa kimapenzi japo unatoka kapa?
  • kudanganya hakuna alilokuudhi ili yaishe?
  • unexpected mobile calls, ukajidai humsikii mpigaji?
  • kudanganya mambo unayojua yatamuudhi ukimwambia ukweli?
  • kumdanganya mahusiano yako na marafiki asiowapenda?
  • nk,...nk...?
Inawezekana au haiwezekani? kwanini? piga kura (Optional) au tetea hoja yako.
 
LOL!...you have a wrong #
 
...khekhekhe! ...watu bana, tayari kuna utofauti wa 57% kwa 42%!
bila kauongo 'kadogo' maisha yanakuwaje?

No wonder wanawake wengi ukiwauliza ulishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa jibu linakuja si zaidi ya watatu,... vidume utawasikia nishakutana na wengi, ila wewe umewazidi wote....(kujifagilia!)
 
Mhhhh! Mbu!
 
Mimi sitaki kuelekeza nguvu zangu kwenye mambo ya ngono i.e cheating. Ila kwa upande wangu nadhani ndoa bila ka-uongo fulani ni ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia (hypothetical). Tulishawahi kujadili huko nyuma na msimamo wangu ni kuwa uongo mtakatifu ni kitu cha muhimu sana katika ndoa. Kwa mfano, Baba au Mama anakupigia simu na kukwambia kuwa mkeo au girl friend wako amefanya kitu ambacho kimemuudhi sana. Baada ya kumaliza kuongea na huyo mzazi wako, unaulizwa nini kimetokea katika hayo mazungumzo, je utamweleza ukweli? UKweli utakaomuumiza mpenzi wako hauna maana. Kwa hiyo mimi nadhani uongo mtakatifu ni ruksa!
 
Mbu

Mahusiano bila udanganyifu haiwezekani,ingekuwa umeongelea kuhusu mapenzi tu labda kuna wengine wasingedanganya ila kwa mifano yote hapo juu tayari hata mie nimeshadanganya mmoja wapo kwa mpz wangu!..
Muda mwingine mtu hudanganya kuweka situation sawa ila madhara yake ni mabaya ikijulikana kuhusu hilo..
BTW, mimi ni kati ya wasichana niliowahi kuwa na wampz zaidi wa watatu huwa sidanganyi hili(ha ha,nakutania ila kweli lol)..Umeona F1 tunavyotesa,huh Ham!!
 
Umepatia mia kwa mia! Ungekuwa karibu ningekupatia kinywaji!!

Maisha yenyewe ni mafupi sana na hakuna haja ya kumharibia mood mpenzi wako! Ukweli usio na tija ni hatari sana kwenye mahusiano. Mimi nachukulia mahusiano kama siasa, ambapo rule of the thumb ni, "tell people what they want to hear and not what you want to say"! Kama najua kabisa kuwa nikimweleza mwenzangu kwamba nilikuwa na washikaji baa tunapata kinywaji atachukia na kuharibu mazingira yote ya home (which means no dinner), kwa nini nisimdanganye kuwa nimecheleweshwa na boss ofisini (endapo naamini haweza ku-prove)?
 
...pheeeewww, hii ni ahueni sana. Thanks BJ na DC kwa ufafanuzi makini.

Unajua wanandoa/wapenzi wana misemo yao, utawasikia '...ananiamini na namuamini 100%!' ...kumbe hiyo 100% ni kionjo tu! Kudanganya na kudanganywa ni lazima bana... leo hii utadanganya kwa madogo madogo, kesho na keshokutwa unaongezea kauongo kengine,...kidogo kidogo...

No wonder hakuna hata mmoja kwa waliopiga kura ya INAWEZEKANA aliyejitokeza kutetea hoja hapa, LOL!
 
Mapadri na Masheikh watu ambao tunawapa heshima za juu kabisa katika communities zetu nao husema uongo wa aina moja au nyingine na hili limethibitika mara nyingi sana, labda inawezekana kweli wako watu ambao hawadanganyi ndani ya nyumba/mahusiano ili kusawazisha mambo ndani ya nyumba/mahusiano lakini namba yao itakuwa ndogo sana. Nakumbuka nilipomuona Bill Clinton aliposema kwa hasira kubwa na kutoa macho, "I did not have sex with that Woman." nilimuamini 100% kwamba Republicans wamempakazia ili kumuharibia reputation yake lakini yaliyotokea baadaye nyote mnayajua.
 
Back
Top Bottom