Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Mimi nimeoa na ndoa yangu inamiaka 6 nilipata majaribu katika mwaka wa pili na kucheat mara moja tu na binti ambaye hata siku ya hukumu naweza kusamehewa kutokana na alivyoumbika. Ila nimeungama sasa sifikirii kucheat.

kizazi cha nyoka...hahahahahaa tih tih
 

Demonstration is a good teaching methgodology. Utakuwa muungwana kama utaanza kujieleza yote hayo uliyosma kwamba wewe umekaa vipi. Elezea hao ulio nao wa nje (kama unao) wangapi umeenda nao pekupeku na kwa mazingira yepi na mara ngapi. Hapo tutajua consistence yako. Utengeneze questionnaire fupi inayoonyesha majibu uyatakayo hata kama sio lazima majina kuonekana
 
Mimi nimeoa na ndoa yangu inamiaka 6 nilipata majaribu katika mwaka wa pili na kucheat mara moja tu na binti ambaye hata siku ya hukumu naweza kusamehewa kutokana na alivyoumbika. Ila nimeungama sasa sifikirii kucheat.

You don't have to justify kama hapo kwenye bold na kwenye red litakutokea kama utaendelea kujenga justifications
 
Hivi kuna mtu ambae ha-cheat ktk dunia hii? Nadhani jibu limepatikana hapo toka kwangu...wapo kabisa....

Kweli wapo ingawa hamna asiyetamani kucheat one day. wasiocheat ama wanakuwa bound na maadili au dini au uoga wa disease, au waif/husband kushtukia au hawajui kutongoza, au hawajapata hiyo opportunity. Ila ukweli ni kwamba wengi wanatamani siku 1 wabadili mboga. Alaaa...
 

ur very wonderfully man...wewe ni mkweli sana..hope huta-confess haya kwa mama watoto
 
ur very wonderfully man...wewe ni mkweli sana..hope huta-confess haya kwa mama watoto
Hahahahaha!

Labda kama nitakuwa na uhakika usiokuwa na mashaka kuwa dakika kumi zijazo nitakuwa nimesha rest in Peace!
 
mbona hatuelewani hapa? swali limeeleweka? wapi niliposema ni wanaume tu ndo wanacheat/ rejea post yangu kisha unijibu. ni wapi niliposema nilicheat nilipokuwa single?ila kabla sijaolewa nilikuwan relatioship na single person just like i was and not married person. kumbe ndo maana watu wanafail mitihani aisee. mimi nimesema sijacheat tangu niolewe, whats wrong with that? wapi nimemhukumu mtu?
 
Kha sasa hapa nashindwa kuelewa cheating haipo before marriage?
Cheating is an act of lying, deception, fraud, trickery, imposture, or imposition.
Ukiwa na mchumba alafu pembeni unakifaa kingine hiyo sio cheating?

nimesema wapi kwamba nilikuwa na mchumba au hata bf halafu nikacheat pembeni? umeelewa swali lakini?
 


kaka/dada umeni qoute kinyume nyume....
 

carmel, jibu nadhani umeshalipata, ni kwamba waliosoma hii mada na wakaa kimya ni kwamba wote wamewahi ku-cheat!! Period!
 
carmel, jibu nadhani umeshalipata, ni kwamba waliosoma hii mada na wakaa kimya ni kwamba wote wamewahi ku-cheat!! Period!
Nimekusoma komredi, kwahiyo bado unaendelea kucheat au umeacha kama mimi?
 

Mawazo mgando haya! Siwasemei lakini hakuna mtu anayetamani kulamba sumu; ikitokea akaweka dhamira hicho ni kitu kingine lakini si kweli kusema kila mtu anatamani kuwa mwizi siku moja!
 
Halafu watu wakishakwambia kweli ndiyo iweje? Concentrate kwenye maisha yako badala ya kutaka kufuatilia maisha yasiyokuhusu? Umetumwa kuwapekua pekua watu hapa? Watu wengine bwana!!!!!
Huyu nae katokea wapi jamani? kama kila mtu angeconcetrate kwenye maisha yake jukwaa hili linge exist? kwani umelazimishwa hata kusoma leave alone ku comment? give me a break, niwapekue ili iweje? nakujua wewe kwani. hebu tazama mnavyoishi kwa mashaka, that alone tells alot about you.
 
unaweza kuanzisha mada na wewe kisha ukaweka maswali unayotaka yajibiwe na ntakuja kuyajibu huko kwenye thread yako. kama hujisikii kujibu unaweza pita kimyakimya, sio wewe tena kunitngia mimi cha kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…