Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

Najua umetoka kuzurula mjini X siyo muda,sasa umekuja na stori za town Kwa watu wa huku matombo
 
Skujbu tena na nlipuuza na kuji keep busy na adui yng halisi ambaye ni maisha, siwez pendwa na kila mtu maana mimi siyo hela wanadamu hawampendi hata MWENYE ENZI MUNGU wanamkosoa sembuse mimi mti mkavu.
 
Ilibidi nifunge safari mpaka kwa mhusika akanijibu huko, sipendagi jipu fupi kwenye majonzi, ni dharau
 
Back
Top Bottom