DAD'S SON
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 392
- 466
Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki, ila sometimes we meet with wrong friends.
Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu anakula analala.
Issue ikaja ni pale nilipotaka kufungua biashara na kumuomba ushauri kuhusiana na biashara ambayo nilitaka kufungua coz naamini ushauri ni muhimu kwa binadamu and ukizingatia ni rafiki wa kushibana, cha achabu alikuwa ananitilia uzito mara "oooh iyo biashara kwa sasa hailipi" Yani bluh bluh zilikuwa nyingi sana mpaka mtaji nikaula kiutani utani.
Baada ya mwezi mmoja huwezi amini jamaa angau uyo tajwa hapo juu akafungua biashara hiyo hiyo ambayo alikuwa ananiletea resistance. From that day, nkasema siwezi muamimi mtu tena, kuna kausemi "but no one hurt your feelings as bad as close friend/family" sasa nimeamini. Ukitaka fanya jambo fanya usimuangalie mtu wala ushauri wake ukakuyumbisha.
Mwingine mwenye ushuhuda wa kunafikiwa tafadhari tupeane experience.