Ulishawai kunafikiwa na rafiki?

Ulishawai kunafikiwa na rafiki?

Marafiki wanalostisha sana...yamenikuta sio mara moja au mara mbili
Jamaa kaharbu Kila ktu! yaan hapa naanza mwanzo ( upya). mpaka nko na mpango wa kuhama mkoa kabsaa, yaan urafiki hamna kabsaa. Afu n Bora angekuwa wa kike, jamaa ( mshikaji) kasomba vtu vyoote vya ghetto kaondoka navyo wakt me nkiwa nyumbn msiban ( mkoa mwingne)
 
Ilikuwaje mkuu?
 
Kuna rafk yangu mmoja aliniibia namba za dem wang akampa msela mwingine ss yule mshkaj akamtongoz chaajab uyo uyo alieniibia izo namba kaja kuniambia et flan ananitongozea dem wang yaan kuna marafik wabay
 
Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki, ila sometimes we meet with wrong friends.

Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila kukopeshana yaani tulikuwa kama ndugu vile, kwao naenda tunakula tunalala mara nyingine anakuja kwetu anakula analala.

Issue ikaja ni pale nilipotaka kufungua biashara na kumuomba ushauri kuhusiana na biashara ambayo nilitaka kufungua coz naamini ushauri ni muhimu kwa binadamu and ukizingatia ni rafiki wa kushibana, cha achabu alikuwa ananitilia uzito mara "oooh iyo biashara kwa sasa hailipi" Yani bluh bluh zilikuwa nyingi sana mpaka mtaji nikaula kiutani utani.

Baada ya mwezi mmoja huwezi amini jamaa angau uyo tajwa hapo juu akafungua biashara hiyo hiyo ambayo alikuwa ananiletea resistance. From that day, nkasema siwezi muamimi mtu tena, kuna kausemi "but no one hurt your feelings as bad as close friend/family" sasa nimeamini. Ukitaka fanya jambo fanya usimuangalie mtu wala ushauri wake ukakuyumbisha.

Mwingine mwenye ushuhuda wa kunafikiwa tafadhari tupeane experience.
Mm kuna jamaa angu tulikuwa best tangu O level hadi Chuo..amekaa sana kwetu(hapa ndio alijuana na manzi yangu wakawa marafiki kweli)..yani alikuwa BEST haswa

Sasa baada ya kupata michongo,yeye akaenda Tanga mm nikapangiwa Nyanda za juu kusini huko

Siku moja huku mkoani nikamtumia picha ya pisi niliyon'goa..jamaa si akafowadi zile picha na text kwa manzi yangu bhana

Wakati yeye pia alikuwa na totoz kibao anaruka nazo

Uhusiano kati yangu na manzi wangu ukafa palepale

Na mm nikaua uhusiano wangu mm na yeye

Kashaomba sana msamaha lkn nimempotezea mbali
 
Mimi nilikua na rafiki nilimpenda sana yani sana na kwa kipindi hicho alikua akinisaidia sana ktk ugumu niliopitia, mwenyez Mungu amlipe kwa hili.
Ila siku moja sasa akanipigia akasema nimekutumia tangazo la kazi bmkubwa wake anafanya tasaf prilocurement officer, akanambia kazi zimetokea na kule ofisin kwa mama ake kila mtu anatakiwa amueke mtu wake hvyo mama ake akawa anataka amueke yeye lkn yeye hataki kuajiriwa kwao mambo safi na mume wake mambo dafi hvyo ye haitaji hyo ajira hvyo akamwambia mama ake anieke mimi. Nikafanya application nikamtumia na yeye ile mama ake apeleke details zangu ofisini kwao. Baada ya siku mbili akanitumia msg kabla sijampa mama hizi detail nataka tukubaliane, kwa kua job hii mimk ndo nlikua niajiriwe lkn staki na mama anakufanyia wewe mpngo basi kila mwezi tutakua tunagawana salary nusu kwa nusu . hapa ndipo nikaelewa aina ya rafiki nilie nae, maana baada ya kwamwambia miaka yote kugawana nusu kwa nusu haiwezekani lkn kuniacha mimi niamue mwenyewe nitafamya nini kwako kama kukushukuru kwa mchongo huu ndio ingekua vyema, basi hakumpa tenaa mama ake details zangu na ujamaa ukaishia hapo.
Ila dua zangu zipo nae kwa wema alionifanyia palipokua na ugumu
 
Hugo noma Yani kazi Yani kila mshahara apate gawio nusu alikua na tamaa Sasa na hakua na nia yadhati kukupa kazi alifanya hivo kimaslahi
 
Nmewahi, asee nlimpenda mnoo kwangu alikuwa ndgu.....lkn alkuja nivunja moyo khaaa! Af tukawa hatuna mawasiliano tena kwa miaka 4, ati juz anajirud tena asee! Staki mazoea naye kabisa wanasema "jasiri haachi asili"
 
Hugo noma Yani kazi Yani kila mshahara apate gawio nusu alikua na tamaa Sasa na hakua na nia yadhati kukupa kazi alifanya hivo kimaslahi
Hatari hapo ndo red light ikawaka. Sababu kwa ukatibu tuliokua nao hata kama ni mm ningekua kweny nafasi yake ningeshindwa kabisa kumwambia yeye hivo lkn ndio watu wengine aya hawana
 
Inakuaje unakuamini rafiki namna hiyo mpaka mawazo yake unayatumia 100%.
 
Back
Top Bottom