ulishawai kununua bidhaa dukani badae ukagundua umepigwa pia nifeki

ulishawai kununua bidhaa dukani badae ukagundua umepigwa pia nifeki

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
wadau habarini
mi nimenunua mzgo flani bana nimejitapa nao kweli
sasa nimegundua kumbe ishu ni feki na nimepigwa
mana inauzwa laki 3 mi nimetoa 4 na nusu najisikia vibaya sana


tuweni makini ujinga na ushamba mbaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu pole mwenyewe unajiona mjanja kwa watu mwisho wa siku kilio
Inabidi uwe mpole tu.


Kabla ya kununua kitu chochote inabidi ufanye research ya kutosha!

Any way tunajifunza maisha usisikitike sna
 
Back
Top Bottom