yuda75 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 520 Reaction score 1,385 Sep 5, 2020 #1 wadau habarini mi nimenunua mzgo flani bana nimejitapa nao kweli sasa nimegundua kumbe ishu ni feki na nimepigwa mana inauzwa laki 3 mi nimetoa 4 na nusu najisikia vibaya sana tuweni makini ujinga na ushamba mbaya
wadau habarini mi nimenunua mzgo flani bana nimejitapa nao kweli sasa nimegundua kumbe ishu ni feki na nimepigwa mana inauzwa laki 3 mi nimetoa 4 na nusu najisikia vibaya sana tuweni makini ujinga na ushamba mbaya
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,115 Reaction score 1,807 Sep 5, 2020 #2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu pole mwenyewe unajiona mjanja kwa watu mwisho wa siku kilio Inabidi uwe mpole tu. Kabla ya kununua kitu chochote inabidi ufanye research ya kutosha! Any way tunajifunza maisha usisikitike sna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu pole mwenyewe unajiona mjanja kwa watu mwisho wa siku kilio Inabidi uwe mpole tu. Kabla ya kununua kitu chochote inabidi ufanye research ya kutosha! Any way tunajifunza maisha usisikitike sna
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,915 Reaction score 2,050 Sep 5, 2020 #3 Kariakoo sitapasahau.