Dahhhhh.....Nilikuwa mtu wa kutetea watu shuleni. Penye kuonewa wanafunzi sikuogopa kusema lolote na ilikuwa likitokea jambo wanafunzi tukaonewa macho yalikuwa yanarushwa kwangu kama nitasema lolote.
Mamember wapya ndiyo wenye hiyo tabia, wanapenda sana kucopy avatar za mamember wa zamani!
Umesoma mwaka gani?mm sikupati mbona
GENTAMYCINE njoo huku ukombe ujiko
Hahaha haha hahahahahaaaWewe Mrs. GENTAMYCINE mbona siku mbili hizi unaonyesha sana Upendo wako Kwangu? au kwakuwa nimeanza kukuruka Ukuta na Wewe ulikuwa hujawahi hivyo sasa imeshakunogea na umejawa tu na wivu pamoja na bashasha nami pengine ukidhani labda nitakuacha?
Haha...
Na utabisha sijacheka
humu huwa sipendi kubishanaHaha...
Na utabisha sijacheka
Mkuu ilikuw PCB au PGM ?kutokuoga
Huyo ni mimi mkuu..Mamember wapya ndiyo wenye hiyo tabia, wanapenda sana kucopy avatar za mamember wa zamani!