Ulisifika Kwa Lipi Shuleni....

Ulisifika Kwa Lipi Shuleni....

Nilikuwa mtu wa kutetea watu shuleni. Penye kuonewa wanafunzi sikuogopa kusema lolote na ilikuwa likitokea jambo wanafunzi tukaonewa macho yalikuwa yanarushwa kwangu kama nitasema lolote.
Dahhhhh.....
 
Mm nilikuwa mkorofi sana mtoro nilikuwa nakuja saa nne naondoka saa saba tukio sitakaa nilisahau kupata namba ya mwalimu wa kike akija kufundisha akimaliza kipindi tu akiwa kwenye korido namtumia sms sijaelewa nimedata na uzuri wako alivyoona hiyo sms tu akajua mwenye simu yuko class akaenda ofisini akachukua walimu wote waje kupiga sachi ili wanikamete niliyetuma sms tukiwa class tulishanga darasa limezungukwa gafla walimu wote fimbo kila mtu asimame juu tuna pekuliwa mmoja baada ya mwingine mm nilichofanya nilichukua ile simu nikaibana kwenye kiti cha mbele walivyopiga sachi kwenye mabegi na awakuona kitu siku iyo walikamata simu kama nane wakaenda nazo ofisini wakapiga ile namba inaita ila simu aipo pale walimu walichoka
 
Nilikuwa napenda ngumi ila sio Mm, wapigane wengine mm mshangiliaji nambutuaji michanga. Na siokowi mpk nione mmoja anatoka damu
 
Nilikuwa monitor mwalimu akakuta darasa zima linapiga kelele mimi nikiongoza tena nikiwa nimesimama juu ya dawati, nilipoulizwa majina ya wapiga kelele nilimjibu mwalimu tunafanya discussion. Nikafukuzwa umonitor bila ya yeyote kuadhibiwa. Huu ni ushindi mkubwa kwangu.
 
GENTAMYCINE njoo huku ukombe ujiko

Wewe Mrs. GENTAMYCINE mbona siku mbili hizi unaonyesha sana Upendo wako Kwangu? au kwakuwa nimeanza kukuruka Ukuta na Wewe ulikuwa hujawahi hivyo sasa imeshakunogea na umejawa tu na wivu pamoja na bashasha nami pengine ukidhani labda nitakuacha?
 
Tulipokuwa darasa la nne, mwanafunzi mmoja darasani aliibiwa mfutio, mwalimu wetu wa darasa alitupanga mstari ma kuanza kusachi mifukoni mwetu. Bahati mbaya wakati huo wengi hatukuwa tunavaa chupi, na bahati mbaya zaidi mifuko yangu ilichanika kwa ndani, mwalimu alipoingiza mkono wake mfukoni kwangu ukapitiliza ukakamata nyoka. Nilipigajwe siku hiyo.
 
Mbn wote mnataja sifa nzuri tu, akat kuna watu walikuwa na misifa ya ajabu lukuki darasani.....haya mm nlicfika kw kujamba darasani, haya mwngne aliyekuwa bingwa anipe like[emoji6]
 
Haha...

Na utabisha sijacheka
Haha...

Na utabisha sijacheka
humu huwa sipendi kubishana
kwa uzowefu raha ya kubishana ni uso kwa uso nikucheke nikuzomee

mpaka walikua wakiniona naanza kubisha
watu watasema tupo upande wako
au kama mtu hanijui akaanza kubishana na mimi watamuuliza we vipi mbona unabishana na Google
 
Back
Top Bottom