Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dooh!!mazeee nilikua mtundu afu kikojozi mpaka namaliza LA saba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uyo teacher alikua me or ke??Tulipokuwa darasa la nne, mwanafunzi mmoja darasani aliibiwa mfutio, mwalimu wetu wa darasa alitupanga mstari ma kuanza kusachi mifukoni mwetu. Bahati mbaya wakati huo wengi hatukuwa tunavaa chupi, na bahati mbaya zaidi mifuko yangu ilichanika kwa ndani, mwalimu alipoingiza mkono wake mfukoni kwangu ukapitiliza ukakamata nyoka. Nilipigajwe siku hiyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uyo teacher alikua me or ke??
Mkuu ulikuwa kichwa maji kwelii nimecheka SanaMm nilikuwa mkorofi sana mtoro nilikuwa nakuja saa nne naondoka saa saba tukio sitakaa nilisahau kupata namba ya mwalimu wa kike akija kufundisha akimaliza kipindi tu akiwa kwenye korido namtumia sms sijaelewa nimedata na uzuri wako alivyoona hiyo sms tu akajua mwenye simu yuko class akaenda ofisini akachukua walimu wote waje kupiga sachi ili wanikamete niliyetuma sms tukiwa class tulishanga darasa limezungukwa gafla walimu wote fimbo kila mtu asimame juu tuna pekuliwa mmoja baada ya mwingine mm nilichofanya nilichukua ile simu nikaibana kwenye kiti cha mbele walivyopiga sachi kwenye mabegi na awakuona kitu siku iyo walikamata simu kama nane wakaenda nazo ofisini wakapiga ile namba inaita ila simu aipo pale walimu walichoka
Hahahaha nilijiona mjanja sana nilikuwa na matukio shule acha kabisa kuna lingine nilimtongoza ticha akajaa kingi kujaa amejaa ila tatizo sitaki anijue alipo kuja kunijua ni mm niliyempiga voko alicheka kwasababu mwanekano wangu na matukio vitu viwili tofauti sanaMkuu ulikuwa kichwa maji kwelii nimecheka Sana
Ulitesa sana waalimu wa kike,, umenikumbusha kuna rafki yangu naye alikuwa na kazi za kuwinda namba za ma madam tuuuHahahaha nilijiona mjanja sana nilikuwa na matukio shule acha kabisa kuna lingine nilimtongoza ticha akajaa kingi kujaa amejaa ila tatizo sitaki anijue alipo kuja kunijua ni mm niliyempiga voko alicheka kwasababu mwanekano wangu na matukio vitu viwili tofauti sana
Kweli wewe mkuu ulikuwa unanidhamu mm siku ikipita sijapigwa sikuiyo nitafanya sherehe kuja shule saa tano nasoma kipindi kimoja nakula ugali kesho tenaNidhamu ya uoga iliyo tukuka. form 1 mpka 4 bila kuchapwa bakora hata moja na shule ya bweni ya serikali enzi hizo 90's
Yani nilikuwa mwembamba kadogo ila madam naye mtongoza paka utashangaaUlitesa sana waalimu wa kike,, umenikumbusha kuna rafki yangu naye alikuwa na kazi za kuwinda namba za ma madam tuuu
We mwanamke unanipaga raha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umbea hakuna aliyenipa siri yake