Ulisifika Kwa Lipi Shuleni....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uyo teacher alikua me or ke??
 
Mkuu ulikuwa kichwa maji kwelii nimecheka Sana
 
Mkuu ulikuwa kichwa maji kwelii nimecheka Sana
Hahahaha nilijiona mjanja sana nilikuwa na matukio shule acha kabisa kuna lingine nilimtongoza ticha akajaa kingi kujaa amejaa ila tatizo sitaki anijue alipo kuja kunijua ni mm niliyempiga voko alicheka kwasababu mwanekano wangu na matukio vitu viwili tofauti sana
 
Ulitesa sana waalimu wa kike,, umenikumbusha kuna rafki yangu naye alikuwa na kazi za kuwinda namba za ma madam tuuu
 
Nidhamu ya uoga iliyo tukuka. form 1 mpka 4 bila kuchapwa bakora hata moja na shule ya bweni ya serikali enzi hizo 90's
Kweli wewe mkuu ulikuwa unanidhamu mm siku ikipita sijapigwa sikuiyo nitafanya sherehe kuja shule saa tano nasoma kipindi kimoja nakula ugali kesho tena
 
1. katotoo, karembo kadogodogo
2. Kisauti, sababu ya kumiliki sauti laini na nyororo
3. Sabufa, nilikua mchambaji mashuhuri mwenye sauti kali na nikianza simalizi
 
Nilisifika kwa ujinga wangu uzoba yaani MTU anaweza akaja akanipiga na nikamtizama tu
Wengi walikuwa wananiita bwege na hadi Leo hii nimekua sijawahi kupigana yaani naogopa hatare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…