Ulitaka kumjibu nini?

Ulitaka kumjibu nini?

THE JAGGERS

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2023
Posts
545
Reaction score
410
Hahahahahahahahahahaha....... Salamu wakuu katika jukwaa .ujue katika maisha kuna watu wanakera sana yaani wanakupa lawama bure wakati hawajui jitihada zako
from no where mtu humjui hakujui (japo ni peace flaan kali) afu anakuja kukufokea mbele ya hadhira kwa kosa ambalo hulijui hivi mlishawahi experience kitu kama hicho? ? ?
aya sasa nimjibu nini?
 
Back
Top Bottom