Bujibuji sijawahi kuona hao waganga! ni kadi za benki au wapi?Mi natamani kuwa Mganga wa kadi
Mganga wa KADI????Mi natamani kuwa Mganga wa kadi
mwanajeshi"Nilitamani niwe hakimu ni wahukumu watu wabaya hasa walio husika kwenye kifo cha baba yangu lakini nimeishia kua dakitari nayaokoa maisha ya watu hata wawe ni majambazi" (mwisho wa kunukuu)
Je wewe ulitamani kua nani?
Ndoto yako imetimia au haikutimia
Ni changamoto zipi ulikutana nazo?
Nawasilisha
Nilitamani kuwa daktari. Nikajikuta nimeangukia kuwa HR consultants. Form four nilifaulu vizuri nikapangia form 5 tosanaganga combination ya PCB. Nilikosa mtu wa kunishauli, nikaitosa tosa maganga nikaenda private nikasoma EGM, University nikasoma BCOM-HRM hapo ndio ndoto ya udaktari ikapotea kabisa."Nilitamani niwe hakimu ni wahukumu watu wabaya hasa walio husika kwenye kifo cha baba yangu lakini nimeishia kua dakitari nayaokoa maisha ya watu hata wawe ni majambazi" (mwisho wa kunukuu)
Je wewe ulitamani kua nani?
Ndoto yako imetimia au haikutimia
Ni changamoto zipi ulikutana nazo?
Nawasilisha
Bila shaka ni jadi na sio kadi...habari bujibujiMi natamani kuwa Mganga wa kadi
Polisi tanzania start following youMi nlitamani kuwa mwanajeshi enzi hizo ikashindikana kupewa nafasi,
Sasa nna ndoto ya kuwa jambazi la kutupwa ili nijikwamue na huu ugumu wa maisha ila cjajua wapi ntapata siraha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitamani kuwa Rais, lakini nimekuwa mfugaji mkubwa wa nguruwe nchini.