GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mchungaji Daudi Mashimo ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty na mumewe Said Aboubakar amewaomba watanzania kutoa msaada wa kuwachangia Amber Rutty na mumewe huyo ambao kwa sasa wapo katika gereza la Segerea wakitumikia kifungo cha miaka mitano au faini ya Milioni 6.
EastAfricaTV
Mbona pale Wawili hawa walipokuwa na 'Mafanikio' yao ya Kimaisha, hukutuita Watanzania nasi tuje tupate 'Misaada' Kwao ili Sisi 'tufanikiwe' pia?
EastAfricaTV
Mbona pale Wawili hawa walipokuwa na 'Mafanikio' yao ya Kimaisha, hukutuita Watanzania nasi tuje tupate 'Misaada' Kwao ili Sisi 'tufanikiwe' pia?