GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkono wa baunsa
Huyo si ni gwajiboyView attachment 1587156
Hata huyu anaomba tumuombee
Yani unakaa na picha ya gwajiboy kwenye simu yako,tena picha yenyewe ya kitandaniπ³? Daaah πππView attachment 1587156
Hata huyu anaomba tumuombee
Yani unakaa na picha ya gwajiboy kwenye simu yako,tena picha yenyewe ya kitandaniπ³? Daaah πππ
Sina hata muda wa kukaa na picha Kama hiyo.Kama umeoa afu mke wako akakuta na picha ya gwajiboy katoka kugegeda kwenye phone yako, atakuona bonge la bwabwa Kama mimi nilivyopata wasiwasi.We umeifuta?
Sina hata muda wa kukaa na picha Kama hiyo.Kama umeoa afu mke wako akakuta na picha ya gwajiboy katoka kugegeda kwenye phone yako, atakuona bonge la bwabwa Kama mimi nilivyopata wasiwasi.
Ohooo π, we kaa nayo bwana huo muda wa kukujibu haya maswali yako ya kitoto sina.Kwenye hiyo picha anagegeda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani unakaa na picha ya gwajiboy kwenye simu yako,tena picha yenyewe ya kitandani[emoji15]? Daaah [emoji23][emoji23][emoji23]
ππ Jamaa kanishangaza Sana,Sasa hapo ikitokea mke wake kamkuta na picha ya mwanaume mwenzake anevuja jasho la migegedo afu yupo kitandani, sijui atamfikiriaje tuπ€[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kampeni zinaisha lini ?Mchungaji Daudi Mashimo ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty na mumewe Said Aboubakar amewaomba watanzania kutoa msaada wa kuwachangia Amber Rutty na mumewe huyo ambao kwa sasa wapo katika gereza la Segerea wakitumikia kifungo cha miaka mitano au faini ya Milioni 6.
EastAfricaTV
Mbona pale Wawili hawa walipokuwa na 'Mafanikio' yao ya Kimaisha, hukutuita Watanzania nasi tuje tupate 'Misaada' Kwao ili Sisi 'tufanikiwe' pia?
Baba akijiandaa kuanza kubanjuka!!View attachment 1587156
Hata huyu anaomba tumuombee