Nashkuru sana.Watanionaje itakulaza njaa ! Achana na hayo makaratasi,,,, nenda site komaa, endesha hata mkokoten, choma mahind Road, tengeneza mihogo, mishkak vitafunwa uza,,, inategemea na eneo ulilopo ,,, point yangu ni kwamba usichague kazi kama unajijua ni mtoto wa mkulima
Kwakweli angekuepo au ingekuepo njia mahususi ya kufanikisha hili ingekua nzur sana ...kukaa hapa nchini naona Haina mana Wala faida kwa Sasa kama vijana wanajipaka matope wanapita mbele ya raisTafuta passport, Andaa documents zako vizuri, Fanya research ya kutosha.
Kasake maisha ughaibuni.
Maisha si Tanzania tu.
Hivi unaipataje kazi humu jf,tupe mwongozo mkuu wengi tuko vijiweni,na mtu mwenye 50+ anaweza pataje kazi humu au nje?Tafuta hapa hapa Kazi utapata
Una 50+ yrs ?Hivi unaipataje kazi humu jf,tupe mwongozo mkuu wengi tuko vijiweni,na mtu mwenye 50+ anaweza pataje kazi humu au nje?
NdioUna 50+ yrs ?
Ndio
Ndio
ShukraniAndika CV yako inayoonesha working experience
Pia jaribu kufanya marketing business
0625085224 nicheki WhatsApp &normal callShukrani
Bajaj ulienda kuchukua wapi kwa mkopo?Nilipewa laki moja nikaanza na mtaji wa laki baadae nikapata tena laki nikapata akili nikaenda kulipia kama ada ya kuchukua bajaji ya mkataba 🤔🤣japo sahivi nipo tu mkata majani na ni degree holder
Ila usichoke
Sio kwa mkopo budah hizi mkataba unapeleka 20k kwa boss Kila siku MwanzaBajaj ulienda kuchukua wapi kwa mkopo?
Sawa sawaSio kwa mkopo budah hizi mkataba unapeleka 20k kwa boss Kila siku Mwanza
Wazo zuriKazi yangu ya kwanza maana siit ajira niliipata hivi.
NNilikuwa na tabia ya kuzungukazunguka kuangalia Fursa nikaona Gym mpya imefunguliwa nikawaza nikaombe kazi au nikaulizie kama anataka matangazo ya picha Graphis kwenye gym.
Nikaenda nikakuta msimamizi nikamwambia ninashida na Boss mwisho akanipa namba yake nikamtumia sms nataka kazi ya kusomamia GYM sikai mbali na blaa blaaa akanijibu njoo jioni nikaenda anakiambia hapa kuna mtu ila kuna kazi ABC... unaweza ofisi ni City Center uje kesho mpogie ABC.. nikafika kesho yake nimepigilia kwa mara ya kwanza nikawa ofisini.
Kwa mwezi mshahara ulikuwa 200,000 ila hio ilkuwa kama milioni kwangu kwa Doso nililochezea mtaani aisee.....Nilifanya kazi kama miaka miwili kikaenda kikashuka sasahivi siamini kama kwenye akiba ya mwezi huu nimeweka 500,000 na kuingiza 50,000 kama kiposho cha kazi kwa siku kawaida.