holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Kila mtaa kuna mwanamke au mdada ambaye anaaminika kuwa ni mzuri na ni vigumu kumpata kiurahisi
Unaweza kujitosa kumtongoza unaambulia matusi na kudharirishwa. Nimegundua hili kwani mtaani kwetu kuna binti mzuri hatari na wanaume wengi washamtongoza na kuishia kusemwa nyumbani,kutukanwa na kudhalilishwa hadharani
Kuna mahali nilienda,nikaoneshwa kuwa huyu ndiye demu matata ashashindikana,nikaanza kumuwinda, haikupita wiki akanasa na kufanikiwa kulala nae. Wengi walishangaa na kuishia kunipongeza.
Ila nishawahi kutongoza msichana wa hivyo mtaani kwetu akaishia kunikataa ila si kwa kunitukana na kunidharilisha.
Wakuu, mnawapataje hawa aina ya wanawake ?