Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

Wewr jamaa unanunuaga magari ya wizi. Nachojua mm unapokabidhiwa gari iwe yard au bandarini na wakala funguo zote mbili zinakuwa attached pamoja.
Magari yote naagiza Japan kaka....
 
Wewr jamaa unanunuaga magari ya wizi. Nachojua mm unapokabidhiwa gari iwe yard au bandarini na wakala funguo zote mbili zinakuwa attached pamoja.
Sio kweli mzee...nadhani kama umeshawahi kuagiza gari utakutana na hali tofauti unisikilize stori za kijiweni mimi nakwambia nimenunua gari mpya na used na zote nakuta spare keys sehemu tofauti
 
thank you Kaka, ulizikuta sehemu gani
 
Sio kweli mzee...nadhani kama umeshawahi kuagiza gari utakutana na hali tofauti unisikilize stori za kijiweni mimi nakwambia nimenunua gari mpya na used na zote nakuta spare keys sehemu tofauti
Ok may be uzoefu ubatofautiana. Nimeshaagiza gari tatu japan so far, zote nakabidhiwa key mbili. Yaani gari yangu mwenyewe nianze tena kufichiwa funguo yya spare?
 
Back
Top Bottom