Ulivyokuja ndivyo utakavyo pokelewa, John Mnyika

bullbar

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
485
Reaction score
830
Shahidi MBABE kuliko WAKILI 🤣

Wakili: Una Akili timamu?

Shahidi: Nina akili timamu kuliko wewe na bosi wako

Wakili: Unajua asiye na akili anatabia ya kuijiona ana akili kuliko wenzie?

Shahidi: Hapana asiye na akiili anatabia ya kuuliza sana wenzie kama wapo timamu.

Wakili; Naona ile kauli mbiu yenu ya tumtetee kwa nguvu zote

Shahidi: Na wewe ya kwako na mabosi zako tumfunge kwa nguvu zote.
 
Hahaha nadhani tunapenda vizuri

Jaji Ndunguru😂
 
Nimemaliza Wakili Nassor Katuga sijaelewa anataka kuelewa nini? Anauliza ulizia Tu mradi aonekane ana maswali
 
Maswali mengi aliyouliza Nassoro Katuga yalilenga kumtoa shahidi kwenye reli ili aweze kutimiza nia yao ovu. Ahueni shahidi ni mtulivu na pia yuko vizuri upstairs.
 
Hatari sana! Watu oyoooooh
 
Bora tlaatlaa homa ilimshika imchukue mzima maana lingekuwepo humu lingekuwa linavamia nyuzi nzuri kama hizi likiweka gentleman na kinyani🤣🤣🤣🤣 itakuwa limefikiwa tyr tuliliambia muda utafika tu
 
Bora tlaatlaa homa ilimshika imchukue mzima maana lingekuwepo humu lingekuwa linavamia nyuzi nzuri kama hizi likiweka gentleman na kinyani🤣🤣🤣🤣 itakuwa limefikiwa tyr tuliliambia muda utafika tu

😂😂😂😂
 
Mnyika ni kiboko ya mawakili vilaza was serikali. Kawanyoosha vilivyo.
 
Huyo wakili ametoka wapi?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…