Unamkosea mzee heshima ana miaka 62 huyoUmekula chumvi ya Nini?
They molested you goddamitSiyo mimi ni nyumba ya jirani baba na mama yao wakisafiri wale wadada walikua wanakuja kwetu kuomba nikalale kwao kwasababu wanaogopa mi nilikua mdogo kuliko wao ila iman yao ni kuwa wakilala na mtoto wakiume ndani wanakua salama, kumbe mwizi akija alikua anaweza kuniiba na mimi
kabisa!Kuna aina mbili ya watenda zambi
1. Wanaojionyesha wazi wazi mfano kuzini, kutukana, kuiba, kusengenya
2. Wanaotenda dhambi kwa siri.
Hamna ambae hatendi dhambi kabisa
HahahaNlikuwa najua mwenye chunusi usoni ana UKIMWI aisee kipindi flan sijui ni balehe ile nlitokewa na chunusi nikawa mfano shuleni
Nlikuwa najua mda wa kudinyana mdada anavolia anaumia.........aloooooh😁🙌
Nlikuwa najua kila anaevaa miwani ana akili