Uliwahi fukuzia basi kwa boda au Taxi baada ya kuachwa stendi ?

nilitoa nauli ya 60k kupanda gari la kwanza nikaachwa Hotelini ikabidi nikodi boda 20k kulifukuzia lakini wapi sikulipata nikaishia kufaulishwa kwenye Ngarangara moja hivi nakuja kuingia Dar usiku wa manane 2020 sitasahau
 
Tuliachwa na basi la 29 october
Tunalifkuzia la 9 december
 
Siyo basi tu hata daladala nafukuziaga muda mwingine ikibidi nafukuziaga kwa ngoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…