Uliwahi kufanya biashara ya Ngozi ya Ng'ombe Nje ya Nchi?

Uliwahi kufanya biashara ya Ngozi ya Ng'ombe Nje ya Nchi?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nimeleta ombi lengu huku kwenye Jukwaa hili najua huku kuna watu wengi zaidi, hebu kama umewahi kufanya hii biashara au kama una watu unawafahamu wanafanya hii kitu tafadhali naomba details,
1. Upatikanaji
2. Bei
3. Vibali

Shukrani
 
Back
Top Bottom