Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,160
- 1,748
Dhambi sio zambiMaisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye.
Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni.
Kila mtu anaweza kuwa na jambo fulani katika maisha yake ambalo akilikumbuka hujiuliza: "Kwa nini nilifanya hivyo?" Huenda ilikuwa ni kumuumiza mtu bila sababu, kusema maneno makali, kupoteza muda katika mambo yasiyo na maana, kuacha kufanya jambo jema, kuvunja ahadi, au kufanya kosa ambalo lilimfundisha somo kubwa.
Lakini majuto hayapaswi kuwa mwisho wa safari. Mara nyingi majuto huwa ni mwanzo wa mabadiliko. Mtu anapotambua kosa lake, ana nafasi ya kujirekebisha, kuomba msamaha, kusamehewa na kuwa mtu bora zaidi kuliko jana.
Hakuna binadamu mkamilifu duniani. Tofauti kubwa ipo kwa yule anayekubali makosa yake na kujifunza kutoka nayo, na yule anayekataa kuona makosa yake.
Leo hebu tushirikiane kwa uaminifu na heshima:
Uliwahi kufanya dhambi au kosa gani duniani ambalo mpaka leo unalijutia?
Hii inanitokea mara nyingi halafu unakuta nakaribia kunaswa na police kabisa nashtuka😅... niliua ndotoni! ... kila nikikumbuka ninatetemeka!
... inawezekana hii ndiyo dhambi ya asili, yaani kila mmoja wetu ni 'KILLER'! ... ila tu ni kwamba mazingira yanatulinda tulio wengi!Hii inanitokea mara nyingi halafu unakuta nakaribia kunaswa na police kabisa nashtuka😅
Dhambi sio dhambjDhambj sio zambi
Soma vizuri thread, hakuna palipoandikwa zambiDhambi sio zambi
Ulifanya dhambi gani hiyo mpaka unaijutia?namuomba MUNGU anisamehe
Kwa hiyo ulitenda dhambi kwa mawazo.Hii inanitokea mara nyingi halafu unakuta nakaribia kunaswa na police kabisa nashtuka😅
Sijawahi tenda dhambi kamwe , ila nimefanya makosa kadhaaUlifanya dhambi gani hiyo mpaka unaijutia?
Kwa hiyo ulitenda dhambi kwa mawazo.
Ahahaaaaa
Kwa namna zilivyo nyingi?Nishasahau
Nilinusa chupi ya mama mkwe .Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye.