Uliwahi kufanya dhambi gani duniani hata ukajutia?

Kumdanganya dada wa watu sijaoa kumbe nina mke na watoto.Dada wa watu akanipenda akanijali kaja kugundua nina mke na sina mpango wa kumuoa tayari ana mimba ya miezi nane😭..Nimesababisha awe single maza zambi hii hua inaniuma sana na nimekua namjali sana maana nimechangia kuharibu ndoto zake.
 
Nimekua kwa misingi ya dini hivyo nimekua nikiamini kwamba kudinya mtoto wa mtu Mungu hapendi kwahyo nimekaa miaka 26 tokea nizaliwe na kwa mara ya kwanza nikadinya mtoto wa mtu aisee nilijuta sana nilipomaliza na naliyemdinya anangangania tuendelee. niliona kuna kitu mwilini nimepungukiwa yan sina amani kabisa nikaanza kujuta why nimedinya .aisee imani inanguvu sana
 
Ungeanza wewe kutuwekea
Dhambi uliyowahi kuifanya

Ova
 
Nilitembea na mama wa rafiki yangu

 
Wake za watu umewafyatua
Sana lkn si walikuwa wanajilengesha wenyewe au
We ulikuwa unajuwa fika ni wake za watu na ukawafyatua

Ova
Walikuwa wanajirengesha wenyewe na wakati huo nilikuwa najua kuwa ni wake za watu, so hakukuwa na namna ilinipasa kuwafyatua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…