R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
Nakumbuka 2002 niliazimwa cassete ya Nellyvile albam ya Nelly nikaenda kuirekodi nipate nakala, redio ikazunguka spidi ikala mkanda, kiukweli mshkaji alinimaidi sana maana ilikuwa ni casette original ametumiwa na ndugu yake kutoka Marekani. Nilijisikia vibaya sana kupoteza hii connection, kuna kambwa kadogo alikuwa anapenda sana kucheza nako kila akija kwetu, ikabidi nimpe japo kishingo upande ndio uaminifi ukarudi
Niliwahi kuazima gari nikiwa nipo chuoni nikajiongezee brand kwa maduu, nikiwa nipo bizi kuuza sura na kujionesha nina uzoefu nikaparua garo kule mbele kwenye bampa (chini ya pua), nilirudisba gari fasta nikaipaki kwa kusogelea sana ukuta ili isionekane kirahisi, kesho yake asubuhi jamaa ananiuliza kwamba wakati anaitoa gari asubuhi jirani yake kamwambia ina mkwaruzo, je jana aliponiazima sikuikwaruza?
Nilikuwa na hofu sana nilidhani kurekebisha itakuwa laki 6 huko, ikabidi nikatae sio mimi labda watoto wa hapo mtaani wamekwaruza, Jamaa alimaindi sana alitumia kama elf 70 kupiga rangi