Uliwahi kuharibu au kuibiwa na kitu ulichoazima? ulifanya maamuzi yapi na hali ikawaje kwa uliyemuazima?

Uliwahi kuharibu au kuibiwa na kitu ulichoazima? ulifanya maamuzi yapi na hali ikawaje kwa uliyemuazima?

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Nakumbuka 2002 niliazimwa cassete ya Nellyvile albam ya Nelly nikaenda kuirekodi nipate nakala, redio ikazunguka spidi ikala mkanda, kiukweli mshkaji alinimaidi sana maana ilikuwa ni casette original ametumiwa na ndugu yake kutoka Marekani. Nilijisikia vibaya sana kupoteza hii connection, kuna kambwa kadogo alikuwa anapenda sana kucheza nako kila akija kwetu, ikabidi nimpe japo kishingo upande ndio uaminifi ukarudi

Niliwahi kuazima gari nikiwa nipo chuoni nikajiongezee brand kwa maduu, nikiwa nipo bizi kuuza sura na kujionesha nina uzoefu nikaparua garo kule mbele kwenye bampa (chini ya pua), nilirudisba gari fasta nikaipaki kwa kusogelea sana ukuta ili isionekane kirahisi, kesho yake asubuhi jamaa ananiuliza kwamba wakati anaitoa gari asubuhi jirani yake kamwambia ina mkwaruzo, je jana aliponiazima sikuikwaruza?

Nilikuwa na hofu sana nilidhani kurekebisha itakuwa laki 6 huko, ikabidi nikatae sio mimi labda watoto wa hapo mtaani wamekwaruza, Jamaa alimaindi sana alitumia kama elf 70 kupiga rangi
 
Kuna mama alikuwa anapenda kuazima nguo za wamama wenzie, hiyo siku alikuwa ameazima suti, akawa ameitundika kwenye kamba.

Kuna wale watu hawana makabati wanatundika kwenye kamba nguo baada ya kuivua, asa wanatumia kibatari, mtoto alishika vibaya kibatari Moto ukashika zile nguo kwenye kamba. The rest was history.
 
Kuna mama alikuwa anapenda kuazima nguo za wamama wenzie, hiyo siku alikuwa ameazima suti, akawa ameitundika kwenye kamba, Kuna wale watu hawana makabati wanatundika kwenye kamba nguo baada ya kuivua, asa wanatumia kibatari, mtoto alishika vibaya kibatari Moto ukashika zile nguo kwenye kamba. The rest was history.
Na wabongo wengi tulivyo sasa hata kujiongeza ulipe ama utafute mpya walaaaaa!! ni mwendo wa visingizio tu, moto uliwaka nikiwa naoga, panya waliila wakati nimelala, blabla kibao
 
Nakumbuka miaka ya nyuma niliazima gazeti kwa jirani yangu,lilikuwa na matangazo ya kazi,bahati mbaya likapotea.

Jamaa hakunielewa ilibidi niende kwa wauza magazeti Nako ikawa bahati mbaya wakaniambia Hilo lilikuwa toleo la siku mbili zilizopita.

Mabaki wameyarudisha kwenye makao makuu ya gazeti Kule posts,ikabidi nifunge safari kuelekea kwenye hiyo kampuni ya gazeti hilo, ikawa bahati wakanipatia hiyo nakala baada ya kujieleza.
 
Miaka hiyo disco vumbi kijjni tumeingia disco. SASA manzi alikuwa na mzuka WA kucheza Mimi siwezi na sina mzuka

SASA kuna Mwamba rafiki yangu sana nikamuomba acheze na Yule binti Ila Kwa staha bila kumsogelea. Nikakaa pembeni nawacheki nikajisahau Yule Mwamba alisepa na manzi wangu magetoni.

Urafiki ukafa.
 
Ilikua chuo lecture room kuna dem wa rafiki yangu aliweka simu chaji dirishani, katika kupita niende zangu back bencha nikajikwaa kwenye waya simu ikaanguka chini "paaaah!" Ilikua samsung. Kuiwasha ngoma ikawa inaonyesha michilizi ya maji tu yani kioo kimevujia.

Manzi analia ndio ana mwezi tangu anunue ile simu. Mshkaji ikabidi ampe kisimu cha batani azugie, mimi nikabaki na ile samsung ili nitafte kioo nirekebishe.

Kichwani nikawa nafikiri kioo kitanicost chini ya 50k! Kwenda shop kuulizia naambiwa gharama ya kioo cha simu laki 2 na matengenezo elfu20!!!! Nilidata. Ilinicost sana ile kitu, robo tatu ya bumu lilikatikia pale nikaishia kushindia mihogo na mikate semista nzima. Mpaka sasa pamoja na kua life liko njema ila simu za samsung sina mzuka nazo!
 
Kuna mshkaji alikua anadem wake, sasa akaniuliza kama nilisha wahi kujaribu kitobo (nikamjibu hapana), basi akaniambia ataniazima dem wake nikajifunzie kunjunjana.....🤣

Matokeo ya pale dem akawasha taa akakuta ni mimi na sio mshkaji, basi alimaind kimtindo na kuanzia siku hiyo dem akakomaa kwamba hamtaki tena mshaji na ananipenda mimi...😜

Kuanzia skuhiyo mimi na mshkaji urafiki ulikufa, then tukaja kuonana miaka 25 baadae alishakua na familia na mimi nina familia. Basi hiyo siku wakati tunasalimiana mimi nilikua nacheka tu nikikumbuka....😝
 
Demu uliyejifunzia kugonga yuko wapi siku hizi?
Skuhiyo nilikua nimeamua tu kumsokota mshaji kwamba sijawahi kujaribu kitobo....🤣 na lengo ilikua sijui anawaza nini na nikatamani nijue anataka kusema nini...😜
Sasa aliponipa dem wake nikajifunzie, na nikawa na upwiru uliojaa vudumu zote mbili, ilikua shighuli...😝
Ila nahisi dem aligundua na akawa amefurahia show, basi ikabidi ajifanye hajui chochote...🤪
 
Kuna mshkaji alikua anadem wake, sasa akaniuliza kama nilisha wahi kujaribu kitobo (nikamjibu hapana), basi akaniambia ataniazima dem wake nikajifunzie kunjunjana.....🤣
Matokeo ya pale dem akawasha taa akakuta ni mimi na sio mshkaji, basi alimaind kimtindo na kuanzia siku hiyo dem akakomaa kwamba hamtaki tena mshaji na ananipenda mimi...😜
Kuanzia skuhiyo mimi na mshkaji urafiki ulikufa, then tukaja kuonana miaka 25 baadae alishakua na familia na mimi nina familia. Basi hiyo siku wakati tunasalimiana mimi nilikua nacheka tu nikikumbuka....😝
Yani jamaa alikupa demu wake au umeongeza chumvi tu kuchangansha jamvi 😂😂

Duh ! nachojua njia ya kuwarijalisha marafiki zetu wenye midomo mizito ama waoga huwa tunawatafutia madada poa wa kitaa ila tunawasihi condom lazima ivaliwe.
 
Back
Top Bottom