Uliwahi kuharibu au kuibiwa na kitu ulichoazima? ulifanya maamuzi yapi na hali ikawaje kwa uliyemuazima?

Mzee inaonekana ulipiga shoo moja ya kibabe sana. Shoo moja mpaka ukaanza kupendwa kweli hukufanya makosa mkuu πŸ˜…
 
Mtu uliemuazima gari ghafla unamuona analetwa na boda boda alaf anakuita pembeni muongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanuni ya kuazimana gari ni lazima na yeye awe na gari. Hata akiharibu unachukua lake kwa muda.
Mtu hana gari, akiharibu sijui inakuaje? Mtu kaazima kaharibu, hangaiki hata kutengeneza
 
Blow dry yangu iliungua wakat nakausha nywele zilikuwa hazijakauka vizuri nikaenda kuazima ya jirani nimalize Yan kuiwasha naanza tu ikaungua hata nywele sijakausha nilidaiwa ikabid nimnunulie mpya inaniumaga bas tu πŸ˜€
 
Kwakweli hizo simu hata mm naziogopa na uchumi wa kuungaunga na nilivo mama mihangaiko kutwa nzima ngoja nikomae na TecnoπŸ˜€
 
Blow dry yangu iliungua wakat nakausha nywele zilikuwa hazijakauka vizuri nikaenda kuazima ya jirani nimalize Yan kuiwasha naanza tu ikaungua hata nywele sijakausha nilidaiwa ikabid nimnunulie mpya inaniumaga bas tu [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Pole.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Pole.
Asante iliniuma et anatak mpya Bora nibgetoa Hela nikaenda saluni tu ikabid ninunue mbili yangu na nayodaiwa nilisikia uchunguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hata Wahenga walisema cha kuazima hakisitiri makagari... hakuna wakati mtu anajuta kama anapopata msala kwa kitu cha kuazima, bahat mbaya mkosi huo unakukuta ukiwa huna hata uwezo wa kulipa..basi ni kutia tu huruma kama GaBo kwenye wimbo wa Sumu
 
Mbona hichi kisa kama cha mzee wangu
Location ya tukio ni huko tabora
 
Jirani aliazima pasi,sijui alifanyaje ikaungua na akairudisha bila taarifa[emoji23]Tulinunua nyingine

Sasa alivyomshenzi akaja kuazima tena[emoji23],tukawa tunampa ile aliyoiharibu.
Ukatili mwingi sanaa[emoji1787]
 
Nimesoma hadithj nimekutukana kimoyo.

Jambo la bahati mbaya na ukaripa na hela aisee.

We we ni fala
 
Mbona hichi kisa kama cha mzee wangu
Location ya tukio ni huko tabora
Mhhhhh....
Ebu kwanza nieleze ni Mboka mitaa ya Bachu, Kanyenye, Chemchem, Isevya, Neshno, Makokola, Kiyungi, Liwali, Mwinyi, Milambo amawapi...πŸ€”??
 
We nae usingelipa,yy c aliweka njian,mi ningemwambia sina hela na cha kunifanya hana
 
We nae usingelipa,yy c aliweka njian,mi ningemwambia sina hela na cha kunifanya hana
Blaza mimi nimekuzwa katika misingi inayonitaka kua responsible kwa matendo yangu yote ninayoyafanya kwa wengine, haijalishi iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya. I opt to take full responsibility for my actions. Na najivunia kwa hilo hata kama itaonekana ni uboya.
 
Jirani aliazima pasi,sijui alifanyaje ikaungua na akairudisha bila taarifa[emoji23]Tulinunua nyingine

Sasa alivyomshenzi akaja kuazima tena[emoji23],tukawa tunampa ile aliyoiharibu.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…