Uliwahi kuharibu au kuibiwa na kitu ulichoazima? ulifanya maamuzi yapi na hali ikawaje kwa uliyemuazima?

Skuhiyo nilikua nimeamua tu kumsokota mshaji kwamba sijawahi kujaribu kitobo....🤣 na lengo ilikua sijui anawaza nini na nikatamani nijue anataka kusema nini...😜
Sasa aliponipa dem wake nikajifunzie, na nikawa na upwiru uliojaa vudumu zote mbili, ilikua shighuli...😝
Ila nahisi dem aligundua na akawa amefurahia show, basi ikabidi ajifanye hajui chochote...🤪
Mzee inaonekana ulipiga shoo moja ya kibabe sana. Shoo moja mpaka ukaanza kupendwa kweli hukufanya makosa mkuu 😅
 
Mtu uliemuazima gari ghafla unamuona analetwa na boda boda alaf anakuita pembeni muongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kanuni ya kuazimana gari ni lazima na yeye awe na gari. Hata akiharibu unachukua lake kwa muda.
Mtu hana gari, akiharibu sijui inakuaje? Mtu kaazima kaharibu, hangaiki hata kutengeneza
 
Blow dry yangu iliungua wakat nakausha nywele zilikuwa hazijakauka vizuri nikaenda kuazima ya jirani nimalize Yan kuiwasha naanza tu ikaungua hata nywele sijakausha nilidaiwa ikabid nimnunulie mpya inaniumaga bas tu 😀
 
Ilikua chuo lecture room kuna dem wa rafiki yangu aliweka simu chaji dirishani, katika kupita niende zangu back bencha nikajikwaa kwenye waya simu ikaanguka chini "paaaah!" Ilikua samsung. Kuiwasha ngoma ikawa inaonyesha michilizi ya maji tu yani kioo kimevujia.

Manzi analia ndio ana mwezi tangu anunue ile simu. Mshkaji ikabidi ampe kisimu cha batani azugie, mimi nikabaki na ile samsung ili nitafte kioo nirekebishe.

Kichwani nikawa nafikiri kioo kitanicost chini ya 50k! Kwenda shop kuulizia naambiwa gharama ya kioo cha simu laki 2 na matengenezo elfu20!!!! Nilidata. Ilinicost sana ile kitu, robo tatu ya bumu lilikatikia pale nikaishia kushindia mihogo na mikate semista nzima. Mpaka sasa pamoja na kua life liko njema ila simu za samsung sina mzuka nazo!
Kwakweli hizo simu hata mm naziogopa na uchumi wa kuungaunga na nilivo mama mihangaiko kutwa nzima ngoja nikomae na Tecno😀
 
Blow dry yangu iliungua wakat nakausha nywele zilikuwa hazijakauka vizuri nikaenda kuazima ya jirani nimalize Yan kuiwasha naanza tu ikaungua hata nywele sijakausha nilidaiwa ikabid nimnunulie mpya inaniumaga bas tu [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Pole.
 
hata Wahenga walisema cha kuazima hakisitiri makagari... hakuna wakati mtu anajuta kama anapopata msala kwa kitu cha kuazima, bahat mbaya mkosi huo unakukuta ukiwa huna hata uwezo wa kulipa..basi ni kutia tu huruma kama GaBo kwenye wimbo wa Sumu
 
Kuna mshkaji alikua anadem wake, sasa akaniuliza kama nilisha wahi kujaribu kitobo (nikamjibu hapana), basi akaniambia ataniazima dem wake nikajifunzie kunjunjana.....[emoji1787]

Matokeo ya pale dem akawasha taa akakuta ni mimi na sio mshkaji, basi alimaind kimtindo na kuanzia siku hiyo dem akakomaa kwamba hamtaki tena mshaji na ananipenda mimi...[emoji12]

Kuanzia skuhiyo mimi na mshkaji urafiki ulikufa, then tukaja kuonana miaka 25 baadae alishakua na familia na mimi nina familia. Basi hiyo siku wakati tunasalimiana mimi nilikua nacheka tu nikikumbuka....[emoji13]
Mbona hichi kisa kama cha mzee wangu
Location ya tukio ni huko tabora
 
Jirani aliazima pasi,sijui alifanyaje ikaungua na akairudisha bila taarifa[emoji23]Tulinunua nyingine

Sasa alivyomshenzi akaja kuazima tena[emoji23],tukawa tunampa ile aliyoiharibu.
Ukatili mwingi sanaa[emoji1787]
 
Ilikua chuo lecture room kuna dem wa rafiki yangu aliweka simu chaji dirishani, katika kupita niende zangu back bencha nikajikwaa kwenye waya simu ikaanguka chini "paaaah!" Ilikua samsung. Kuiwasha ngoma ikawa inaonyesha michilizi ya maji tu yani kioo kimevujia.

Manzi analia ndio ana mwezi tangu anunue ile simu. Mshkaji ikabidi ampe kisimu cha batani azugie, mimi nikabaki na ile samsung ili nitafte kioo nirekebishe.

Kichwani nikawa nafikiri kioo kitanicost chini ya 50k! Kwenda shop kuulizia naambiwa gharama ya kioo cha simu laki 2 na matengenezo elfu20!!!! Nilidata. Ilinicost sana ile kitu, robo tatu ya bumu lilikatikia pale nikaishia kushindia mihogo na mikate semista nzima. Mpaka sasa pamoja na kua life liko njema ila simu za samsung sina mzuka nazo!
Nimesoma hadithj nimekutukana kimoyo.

Jambo la bahati mbaya na ukaripa na hela aisee.

We we ni fala
 
Mbona hichi kisa kama cha mzee wangu
Location ya tukio ni huko tabora
Mhhhhh....
Ebu kwanza nieleze ni Mboka mitaa ya Bachu, Kanyenye, Chemchem, Isevya, Neshno, Makokola, Kiyungi, Liwali, Mwinyi, Milambo amawapi...🤔??
 
Ilikua chuo lecture room kuna dem wa rafiki yangu aliweka simu chaji dirishani, katika kupita niende zangu back bencha nikajikwaa kwenye waya simu ikaanguka chini "paaaah!" Ilikua samsung. Kuiwasha ngoma ikawa inaonyesha michilizi ya maji tu yani kioo kimevujia.

Manzi analia ndio ana mwezi tangu anunue ile simu. Mshkaji ikabidi ampe kisimu cha batani azugie, mimi nikabaki na ile samsung ili nitafte kioo nirekebishe.

Kichwani nikawa nafikiri kioo kitanicost chini ya 50k! Kwenda shop kuulizia naambiwa gharama ya kioo cha simu laki 2 na matengenezo elfu20!!!! Nilidata. Ilinicost sana ile kitu, robo tatu ya bumu lilikatikia pale nikaishia kushindia mihogo na mikate semista nzima. Mpaka sasa pamoja na kua life liko njema ila simu za samsung sina mzuka nazo!
We nae usingelipa,yy c aliweka njian,mi ningemwambia sina hela na cha kunifanya hana
 
Blaza mimi nimekuzwa katika misingi inayonitaka kua responsible kwa matendo yangu yote ninayoyafanya kwa wengine, haijalishi iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya. I opt to take full responsibility for my actions. Na najivunia kwa hilo hata kama itaonekana ni uboya.
 
Jirani aliazima pasi,sijui alifanyaje ikaungua na akairudisha bila taarifa[emoji23]Tulinunua nyingine

Sasa alivyomshenzi akaja kuazima tena[emoji23],tukawa tunampa ile aliyoiharibu.
Asante
 
Back
Top Bottom