Uliwahi kuishi chumba, hostel au nyumba moja na room mate ambae si muungwana, weka kisa chako hapa

Uliwahi kuishi chumba, hostel au nyumba moja na room mate ambae si muungwana, weka kisa chako hapa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza nacho kama rafiki, n.k. ishu ilikuja hiki kimbwa kaanza kukiingiza ndani, ebwana ee hapa ndipo tuliposhindwana, nipo naangalia tv mara naona kuna ulimi unapenyezwa katikati ya vidole vya mguuni, nasisimka kwa hofu kucheki chini ni kimbwa, duh!

Room mate asie na mishe, nipo kitaa hapa nina geto langu baada ya kumaliza chuo, kuna jamaa aliomba aje mjini kupiga mishe nimsaidie ajishikize kwa siku 2 ama 3 atafte chumba, cha kushangaza jamaa kaja na redio kubwaaa na begi la kawaida, nikiondoka namwacha na wala hajishughulishi zaidi ya kusikiliza muziki, chakula juu yangu, umeme juu yangu, nikaona huu uduanzi sasa, nilimwambia atupishe kidogo nataka niishi na demu wangu.
 
Room mate asie na mishe, nipo kitaa hapa nina geto langu baada ya kumaliza chuo, kuna jamaa aliomba aje mjini kupiga mishe nimsaidie ajishikize kwa siku 2 ama 3 atafte chumba, cha kushangaza jamaa kaja na redio kubwaaa na begi la kawaida, nikiondoka namwacha na wala hajishughulishi zaidi ya kusikiliza muziki, chakula juu yangu, umeme juu yangu, nikaona huu uduanzi sasa, nilimwambia atupishe kidogo nataka niishi na dem wangu.
[/QUOTE]

Yeye huko atakuwa anasimulia mda huu kuwa umemfukuza kwenye gheto lako ili uishi na dem wako
 
Nilikaaga na mshakaji mmoja chuo aliniomba kwakua alikua na wakati mgumu home mambo yalichenga kidogo basi jamaa usiku anamwaga mate kwenye mto na anatafuna meno yanalia kwa nguvu dah na kuna muda anajikaza kama anamajini hivi.

Nilikaa nae mwezi mmoja ikabidi nimwambie atafute ustaarabu mwingine maana mto unanuka mate mixer sijiamini nikilala nahisi atakufa maana dah anajikaza sio mchezo mpka jasho linamtoka.
 
Nilikaaga na mshakaji mmoja chuo aliniomba kwakua alikua na wakati mgumu home mambo yalichenga kidogo basi jamaa usiku anamwaga mate kwenye mto na anatafuna meno yanalia kwa nguvu dah na kuna muda anajikaza kama anamajini hivi nilikaa nae mwezi mmoja ikabidi nimwambie atafute ustaarabu mwingine maana mto unanuka mate mixer sijiamini nikilala nahisi atakufa maana dah anajikaza sio mchezo mpka jasho linamtoka.
Kifafa hicho
 
Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza nacho kama rafiki, n.k. ishu ilikuja hiki kimbwa kaanza kukiingiza ndani, ebwana ee hapa ndipo tuliposhindwana, nipo naangalia tv mara naona kuna ulimi unapenyezwa katikati ya vidole vya mguuni, nasisimka kwa hofu kucheki chini ni kimbwa, duh!

Room mate asie na mishe, nipo kitaa hapa nina geto langu baada ya kumaliza chuo, kuna jamaa aliomba aje mjini kupiga mishe nimsaidie ajishikize kwa siku 2 ama 3 atafte chumba, cha kushangaza jamaa kaja na redio kubwaaa na begi la kawaida, nikiondoka namwacha na wala hajishughulishi zaidi ya kusikiliza muziki, chakula juu yangu, umeme juu yangu, nikaona huu uduanzi sasa, nilimwambia atupishe kidogo nataka niishi na dem wangu.
Mwanzo ni wapi na mwisho ni wapi.Visa vyako havina utangulizi wala hitimisho.
 
Yeye huko atakuwa anasimulia mda huu kuwa umemfukuza kwenye gheto lako ili uishi na dem wako
[/QUOTE]
Kwa simulizi hiyo huyu aliyemfukuza aishi na demu wake ni muhuni na malaya.Afadhali mtu mvivu kuliko muhuni.
 
Back
Top Bottom