Uliwahi kuishi chumba, hostel au nyumba moja na room mate ambae si muungwana, weka kisa chako hapa

Mim napenda kuheshimu na kufuata masharti nikiwa kwa watu vivo hivo nikiwa kwangu nahitaji heshima na nyumba yangu.
Kabla ya yote ni bora nimwambie mtu masharti ya nyumba yangu, nilijifunza mwanzo.
 
Exile mwezi mzima na chenchi nikawa natembea mabarabarani kama mwehu.Mtu na bwanawake wale wanapenda ngono kama fisi maji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mimi nilimtimua kakaangu kabisa, alifeli katika mitikasi yake akanambia dogo nataka nije hapo nicheki upepo haujakaa sawa mie poa, hapo ndani nina unga Michele na dagaa kauzu kama kilo hivi.

Basi akaja tukavipiga vyote vikaisha mwanangu, braza hajawahi changia chochote hata tukitaka kubadili mboga utasikia dogo vp leo unatoa kitu cha dagaa tena chukua hata mchicha mwanangu natoa hela yangu tunapika, akapata ishu sasa akawa anawahi kurudi kama saa11 keshafika mimi ndo mpaka saa2.

Nilishangaa nilipokuta kanunua mayai yake mawili kakaanga na unga wake robo kasonga ugali keshakula kitambo miguu kwenye sofa anacheki TV, nikaingia jikoni na mm, sikumuuliza wala nn, hiyo hali ikaendelea kwa wiki mfululizo, nikaona huyu mpumbavu kumbe hajanijua.

Hiyo siku nimerudi nakuta keshakula kama kawaida nikamwambia bro wewe huwezi kuishi na mtu, kwann dogo, wewe tunakaa wote lakini kila kitu unajifanyia cha pekeako basi kama vp we nenda kaendelee na maisha yako mi hapa naona tutazinguana, akamaindi sana.

Mind you siku chache zilizopita nilimwambia toka kidogo shemeji yako anakuja hatutachelewa basi akanijumlishia bwana akapiga simu kwa ndugu wote ooh lumbitisa ananifukuza kwake kwaajili ya demu wake nikasema hapa sirudi nyuma, nikakaza akaondoka, mpaka leo mahusiano yetu hayapo vizuri.
 
Kazi ipo
 
Hapa umetupiga kamba...huyo demu ndio sababu ukamtimua kakaako hilo la ugali na mayai ni justification tu.
 
Exile mwezi mzima na chenchi nikawa natembea mabarabarani kama mwehu.Mtu na bwanawake wale wanapenda ngono kama fisi maji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ilikua hostel au room tyuuh??
Sasa si ungemuambia ukweliii. Uwiiiiiih
 
Duuuuh poleeee yakeee aseeeh, hope atakua kapata suluhisho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo broh wako daaah, ila wee ilibidi uvumilie tyuuh jaman.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo broh wako daaah, ila wee ilibidi uvumilie tyuuh jaman.
Huo upumbavu mi sinaga, yaani mtu naona kabisa hataki kuwajibika nimvumilie kisa ndugu yangu hapana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ilikua hostel au room tyuuh??
Sasa si ungemuambia ukweliii. Uwiiiiiih
Hostel ya mtu binafsi room tulikua tunakaa mtu mbili.Homeboy wangu aisee alikuwa na makiu na mali imevuka mikoa kumfuata .Nikaone sio case nimwache amalize makiu.Ila niliishi kama mwehu😀😀😀
 
Huo upumbavu mi sinaga, yaani mtu naona kabisa hataki kuwajibika nimvumilie kisa ndugu yangu hapana
Damu nzito kuliko maji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…