Uliwahi kukamwatwa kwenu unavusha?

Umetisha mkuu
 
Mimi nina nyingi sana za kuvusha na kuvushwa.
Nitajitahid kuweka kadhaa.
1. Mama alisafiri tulibaki mdogo angu na mama mdogo. Sasa siku hiyo nikampanga demu aje home nikijua Mama mdogo anasepa kwenda mishe zake asbh na saa 1 jioni. Dogo alikuwa uwanjani kucheza mpira.
Siku hiyo mpaka demu anafika mama mdogo kalala sebuleni, tukampita pale pale sebuleni kwa kunyata hao chumbani kufanya yetu.
Kutoka nikatangulia mimi kucheki mazingira. Nikamtoa akasepa kwako bila kustukiwa.
Najiulizaga mama mdogo angestuka na kutuona? Alivyomnoko

2. Kuna demu mmoja pisi kali mtaani wamehamia kama mwezi. Nikampanga akakubali kwa masharti ya kwenda kwao. Anabanwa kinoma kutoka kwa kutumwa tu.
Siku hiyo nikaenda nikazama sebuleni kwao. Mrembo akafunga mlango na funguo. Kama dk 10 mlango unagongwa kuuliza nan mshua wake. Daaah nilitamani kupenya dirishani. Nikapelekwa fasta chumbani kwake.
Mshua alikuwa amefuata document fulani. Baada ya kuipata akasepa. Nikarudi sebulen nikawa jikon napiga nae story, mrembo akaenda nje kumwaga uchafu, nasikia sauti ya mshua karud tena nikazama stoo kwenye magunia ya mchele na mkaa. Nilikuwa kama panya.
Mshua akasepa tena sikuwa na amani kabisa. Mrembo akanipanga kuwa harudi tena. Nikapewa mzigo nikaupiga sana tena sana. Nikasepa home


Nyingine zinakuja.......
 
Haha Bombastic
 
Kuna siku nipo nae chumbn kwang mzee akaja na mchungaji home nw ni Askofu mkubwa tu basi nikaitwa nikatoka kiunyonge as if naumwa nikamsalimia mchg. pale na tukaongea sana

Kibaya zaidi mchg alidondosha na sala nzito sana kuhus ile nyumba basi na yule mp3mba najuaga ana mashetani yale vurugu,nilikuwa natetema mwanzo mpk mwsho wa yale ya maombi mana yale madude nkajua yatajibu tu.

Hii siku ikapita fresh tu ndy nikasema inabidi niache tu japo huko mbele ndyo kama nilikuwa naanza vile.

Ntarudi na chengine.
 
Dogo apewe maua yake ni zaidi ya Ninja aisee
 
Hahahaha
 
Sitosahau nilikuwaga na misala mingi kisasi kwamba hata kama sijafanya kosa napigwa tu ..Ila siku ya kwanza kuvusha nilivusha mtasha..naikumbuka nyumba nzima mpaka madogo wa kike walikuja geto na mtasha akawa kivutio.mdingi alinishangaa sana Yani watu walipigwa na bumbuwazi.dingi hakunifanya chochote baada ya fumanizi Ila aliingia zake kulalia kimyakimya bila kusema chochote na ukiwa mwisho wa Mimi kupigwa pale home
 
Nimekumbuka tukio LA Kaka kukamatwa na mama ktk huo mtego.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sanaa, baada ya kuambiwa baba akampa funguo za gate.
Dingi kabla hajawa dingi alikuwa MVUSHAJI[emoji2]
 
Nimekumbuka tukio LA Kaka kukamatwa na mama ktk huo mtego.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sanaa, baada ya kuambiwa baba akampa funguo za gate.
Dingi kabla hajawa dingi alikuwa MVUSHAJI[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…