Uliwahi kukamwatwa kwenu unavusha?

Uliwahi kukamwatwa kwenu unavusha?

Kuishi nyumbani kabla ya maisha ya kuanza kujitegemea huwa ni changamoto kubwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vijana wa kiume.

Enzi hizo nakumbuka nilirudi likizo kutoka chuoni, Nilimpata mwenzangu wa kusongesha likizo, shughuli pevu ikawa ni kuvusha maana sikuwa na ghetto wala pesa za gesti.

Chumba changu kilikuwa nje kwenye vile vyumba vya wageni lakini ni lazima nipite upenuni mwa nyumba kubwa.

Ilibidi niwe na ushirikiano wa hali ya juu sana kumpandikiza mdogo wangu awe jasusi wa kunifanyia uchunguzi wa mazingira kabla sijavusha, utaratibu ulizoeleka nikaanza kuzoea kuvusha mara kwa mara.

Sasa siku ya siku nimeshavusha,

Nitaendelea, nimepata dharura.....

Wengine endeleeni kutiririka visa vyenu
😆😆😆😆Usinikumbushe siku nimevusha nipo katkati ya game sister na mivurugu yake kaja kugonga dirisha kama naugomvi nae we flani Amka kuja kucheki kumbe time ya msosi ilinibidi niseme nimeshinda wakati nipo na njaa mbususu sikuweza kuiacha abadani nilipomaliza sasa njaaa hiyo ilinibidi niwe mpole kama kifaranga kwenye kiota 😆😆🍿
 
Nilikuwa nikikarbia na ninja wangu nampanga dogo wa home mana taa ni nyingi eneo zuri la kupita
Kwa kipindi kile usiku hauna mbaramwezi so dogo ana turn off circuit breaker km short imetokea, hzo seconds za wale kutahamaki me nshapita mda mwingi kweny ghetto la nnje.
 
Katika harakati za ujana nimevusha round mbili nakuvushwa round moja.

1: Siku ya kwanza na vusha mother alikua kasepa kikazi na dingi akaona acha akazurure zake kijijini kumdekea mama yake, msela nimeachwa zangu home kama sungu sungu nalala gheto la nje machalii ndani.

Zoezi lilikua hivi nilivusha mara za kutosha mademu tofauti wa kitaa ila mwisho wa siku nilidakwa na mdingi , vusha mtoto ile nimeanza kupiga mzingo tupo kati kwa kati nasikia hone ya gari huko nje, mwamba nikakaza ikabidi madogo watoke nyumba kubwa kufungua,

dingi alivyo mnafiki kinyama aliamua kuja bila taarifa kafunguliwa geti na madogo alafu analeta usnichi anataka niona asee ilibidi tuu nifungue mlango wa gheto maana dingi kagonga vya kutosha , dingi alicho nambia tuu baada ya kumuona mrembo alinivuta chemba kama mwizi rungu bado imesimama hivi akaniambia umeanza kuota sharubu kama mimi asee kilicho endelea wenzangu mtamalizia ila ........

2: Nyingine nilivusha wazazi wote wakiwepo hii alinizoom bimkubwa wangu anakuaga na tabia mbaya huyu bi mkubwa kukaa kwa dirishani kila saa kucheck check nje kama mlinzi sijui anakuaga na machale gani, hiyo siku alininyaka ila aliniachia tuu kinamna maana alikuaga anaiona boya boya wa mademu

ila bi mdashi wakati mwingine ana nisaksia vitoto basi nakua boya kichizi akawa anahisi mimi ni hanithi , hiyo siku kanifumania akanivungia ila kesho yake nilitumikia viboko kadhaa kwa bi mkubwa na sala ya Toba juu, huku akidai anataka nimkutanishe na huyo binti asee mwamba nilisakamwa kwa week nzima mpaka msosi ukawa hauliki kwa raha , pigishwa kazi haswa kama adhabu ila ilibidi tuu nitumikie kwa utiifu

3: Nilivushwa na demu geti kali . Nilipitishwa kwa mlango wa nyuma ile kufika tuu room kwake nasikia upande wapili dingi yake anaongea kuuliza anasem yupo seblen ila hawezi sanuka maana hana mazoea ya kugonga room za mabinti zake.

Ase hii siku mwamba mtambo uligoma kusimama siyo kwa zile hofu za sauti za mzee wake, yani nilikua natetemeka kila mahali mithili ya mtu anayetaka kufa kwa baridi kali. Kila nikisikia sauti ya mzee wake inatokea seblen basi mimi kama panya natetemeka mbaya mpaka nahisi kukosa pumzi. Mwamba niliishia piga tuu vidole nyapu ya manzi kivivu ila demu alinielewa shida ni nini maana haikua kawaida yangu kutetemeka vile tukiwa viwanja.

WAKUU NASISITIZA TUU VIJANA TAFUTENI MAGHETO AU HELA ZA GEST KUVUSHA NA KUVUSHWA NI RISK SANA
 
Nyingne hii

Nilikua na demu aliyekua anaishi jirani na nyumbn ,ilikua kawaida yetu kila usiku mhuni nazunguka nyuma ya nyumba naenda kwao kumt**Bea bafuni kwao sometimes tunakamuana nje bila uoga Ila ni mida ya night.

Baada ya Yale mazoea ya kunyanduana kila tunapojiskia bila ya kushtukiwa na shangaz yke aliyekua anaishi nae pale kwao ( mara nyng shngz yke alikuwa hashindi pale home coz alikua ni nurse wa hospital / na alikua Akisoma kwa kipindi kile chuo kmj cha afya hp town ) si tukajiongeza bhn.

Mhuni nkaanza sasa kutoroka kila mida ya usiku nyumbn wakiingia tu kulala mm huyo nikawa nachomok kmykmyaa nazunguka nyuma ya nyumba naenda kulala kwa yule demu mpk mida ya saa 11 ile alfajiri inapolia hAzana .

Siku ya mwiz sio Arubain bali ni moja bhn. Siku hyo km kawaida yng nkawa nimeamka natoka mlangoni nyumbn kwa kina yule demu, hee kumbe Bi mdashi wangu ananichungulia kupitia kioo cha dirisha la nyumbn kwetu bila mm kujua, maana vioo vilikua ni vile vya tinted vyeusi.

Ile nimerud nmezama getini nafungua mlango tu mara paah! Maza huyu hp akanikamata shati kwa nguvu km vile mwizi.

Oya kilichoendelea baada ya pale ni shidaaaaa , nlishukuru tu Mungu maana kulikua na kimvua kile kinanyesha asubuhi, so ht majiran hawakuskia chochote kilichoendelea . Kwa ufupi kwa mnaowajua wamama wa KINYAKYUSA nadhani shughul yao kwenye kuongea mnaielewa [emoji3]...bc bhn ndio hvyo kilinuka ile day Ila ndio sikukoma mbn nikaja Rudia tukio km lile location nyngn .
Hapo unarushwa juu kwanza then unapewa round kick...
 
ni
Kuishi nyumbani kabla ya maisha ya kuanza kujitegemea huwa ni changamoto kubwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vijana wa kiume.

Enzi hizo nakumbuka nilirudi likizo kutoka chuoni, Nilimpata mwenzangu wa kusongesha likizo, shughuli pevu ikawa ni kuvusha maana sikuwa na ghetto wala pesa za gesti.

Chumba changu kilikuwa nje kwenye vile vyumba vya wageni lakini ni lazima nipite upenuni mwa nyumba kubwa.

Ilibidi niwe na ushirikiano wa hali ya juu sana kumpandikiza mdogo wangu awe jasusi wa kunifanyia uchunguzi wa mazingira kabla sijavusha, utaratibu ulizoeleka nikaanza kuzoea kuvusha mara kwa mara.

Sasa siku ya siku nimeshavusha,

Nitaendelea, nimepata dharura.....

Wengine endeleeni kutiririka visa vyenu
niliwahi kunyakwa na dingii nimemkamatia dada wa kaz jikoni namkandraamizia mambo.

Cha ajabu tuliangaliana macho kwa macho na dingii na halafu hajaongea kitu,
Nilipata hofu itakuja, nilikua navibrate miguu kama kiswaswadu , nikitafakari kichapo chake kitakuaje......
 
Inshort:

Aliye kazini akanifungia kwa nje.
Alivyo rudi ni kusaidia mama ake na wadogo zake mapishi; chumba kipo locked [emoji357]. Akasingizia amepoteza funguo.
Akajidai ana mpigia fundi seremala aje kubomoa komeo,, aka fuata nyundo mimi ndo nikawa mbomoaji,,,

Sema tu mama wana akili sana, Ali muuliza fundi kapitia wapi mbona hatuja mwona kukatiza hapa na muda mwingi tumekaa hapa.

Nikaomba allfu mbili zangu za kuvunja kufuli.
Nduki.
SIKU YAPILI ALINIITA NIKA MSAIDIE KUFUNGUA KITANDA ANAENDA KUPANGA.
SIJUI MARUMBANO YALIISHAJE NA MAMA AKE.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
ni
niliwahi kunyakwa na dingii nimemkamatia dada wa kaz jikoni namkandraamizia mambo.

Cha ajabu tuliangaliana macho kwa macho na dingii na halafu hajaongea kitu,
Nilipata hofu itakuja, nilikua navibrate miguu kama kiswaswadu , nikitafakari kichapo chake kitakuaje......
Hapo utatetema sana tu 🤣🤣🤣🤣🤣 kama wiki nzima unaweza ukawa ukimwona mshua una tetema.
 
Mimi Kuna siku nilivusha kizembe dingi akanistukia akanipiga mikwara ya hatari Sana Hadi nikakoma.

Tangia hapo nikaanza kwenda kutombea kwa washikaji.Dingi yangu alikuwaga mnoko sio poa kbsa.
Mwanangu ding alikuwa snitch sio [emoji23].

JF Kuna mambo mi dingi yangu alikuwa bandidu alishanipamba akaniambia " We mfukue siku utakayompa mimba ukapange sitaki kukuona Hapa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nakumbuka enz hizo nishaset dem kaja yuko geto kwa mshkaji wangu jiran na home
Jamaa kaniita ila natoka si nakutana na gari mzee anaingia akanambia njoo nikutume town chap aisee
Nilitoroka wakat anapaki nikaenda chap nikala kimoja nikarud mzee anafoka ila kunisogea nadhan alisikia harufy ya mbunye kanambia nenda kaoge shenzi [emoji23][emoji23]
 
Kuishi nyumbani kabla ya maisha ya kuanza kujitegemea huwa ni changamoto kubwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa vijana wa kiume.

Enzi hizo nakumbuka nilirudi likizo kutoka chuoni, Nilimpata mwenzangu wa kusongesha likizo, shughuli pevu ikawa ni kuvusha maana sikuwa na ghetto wala pesa za gesti.

Chumba changu kilikuwa nje kwenye vile vyumba vya wageni lakini ni lazima nipite upenuni mwa nyumba kubwa.

Ilibidi niwe na ushirikiano wa hali ya juu sana kumpandikiza mdogo wangu awe jasusi wa kunifanyia uchunguzi wa mazingira kabla sijavusha, utaratibu ulizoeleka nikaanza kuzoea kuvusha mara kwa mara.

Sasa siku ya siku nimeshavusha,

Nitaendelea, nimepata dharura.....

Wengine endeleeni kutiririka visa vyenu
Utakua umepigwa kifafii
 
Kipnd naishii mbez nilivushwa na demu tukawa tunatafunana bafuni, siku hyo dada yke si akarudi nyumbn bila taarifa .

Dada mtu kumbe alipofika akakuta ndani sufuria imebandikwa jikoni maji yanachemka ile mby Ila mpishi mdg wake muda ule akawa haonekan .

Dada yke akajiongeza akaja nje kuchek bafuni km mdg wake yupo anaoga , si ndio ghafla muda namlamba uchi yule binti mule ndan kwa bafu tukaskia mlango unagongwa kumbe sister Ake alishtukia na aliskia miguno iliyokua ikitoka mule bafuni,

baht nzr yule dada yke alikua anamuamrisha mdg wake kwa kilugha kwamba atoke bafuni haraka sn na kwamba ameshajua yupo na mwanaume ndan ya bafu ambaye ndio mm sasa, hpo presha muda ile ilinipanda ghafla hpo nawaza nitorokee wapi nisiaibike mm.

Ninachokumbuka nilipita kwenye kile kidirsha cha juu bafuni km mnavyojua huwa vidogo sn, Ila kijana wenu machachar mbn nilipita kibishi na nkafanikiwa kutoroka kwa nyuma ila demu nikamuacha ndan bafuni akanirushia nguo zang kwa nje maana nlitoka km nilivyozaliwa , bc faster nilivaa then huyoo nkakimbia.

Baada ya pale yule dada yke kumbe alipewa namba zng na yule mdg wake aliyetubamba mule bafuni siku ile ya tukio. Yule sster akawa ananipigia simu akadai anataka anione tu na anijue tuzungumze kiroho Safi et, mhuni ikabid tu nidanganye kuwa natokea Mbali na siishi karbu na mazngra ya pale kwao hvyo anisamehe tu bure.

Bc ndio mpk Leo hii yule dada mkubwa hajui km mm ndio niliyekua nambonyeza mdg wake kule ndan bafuni maana hakuniona kwa sura that day, japo kiuhalisia yule sister ananifahamu fika na tulikua tukipishana road na mpk home kwetu alikua anapajua , ila ndio vile hakujua km ndio mm niliyekua namgegeda mdg wake ndan mule siku ile ya tukio.[emoji41]
 
Katika harakati za ujana nimevusha round mbili nakuvushwa round moja.

1: Siku ya kwanza na vusha mother alikua kasepa kikazi na dingi akaona acha akazurure zake kijijini kumdekea mama yake, msela nimeachwa zangu home kama sungu sungu nalala gheto la nje machalii ndani.

Zoezi lilikua hivi nilivusha mara za kutosha mademu tofauti wa kitaa ila mwisho wa siku nilidakwa na mdingi , vusha mtoto ile nimeanza kupiga mzingo tupo kati kwa kati nasikia hone ya gari huko nje, mwamba nikakaza ikabidi madogo watoke nyumba kubwa kufungua,

dingi alivyo mnafiki kinyama aliamua kuja bila taarifa kafunguliwa geti na madogo alafu analeta usnichi anataka niona asee ilibidi tuu nifungue mlango wa gheto maana dingi kagonga vya kutosha , dingi alicho nambia tuu baada ya kumuona mrembo alinivuta chemba kama mwizi rungu bado imesimama hivi akaniambia umeanza kuota sharubu kama mimi asee kilicho endelea wenzangu mtamalizia ila ........

2: Nyingine nilivusha wazazi wote wakiwepo hii alinizoom bimkubwa wangu anakuaga na tabia mbaya huyu bi mkubwa kukaa kwa dirishani kila saa kucheck check nje kama mlinzi sijui anakuaga na machale gani, hiyo siku alininyaka ila aliniachia tuu kinamna maana alikuaga anaiona boya boya wa mademu

ila bi mdashi wakati mwingine ana nisaksia vitoto basi nakua boya kichizi akawa anahisi mimi ni hanithi , hiyo siku kanifumania akanivungia ila kesho yake nilitumikia viboko kadhaa kwa bi mkubwa na sala ya Toba juu, huku akidai anataka nimkutanishe na huyo binti asee mwamba nilisakamwa kwa week nzima mpaka msosi ukawa hauliki kwa raha , pigishwa kazi haswa kama adhabu ila ilibidi tuu nitumikie kwa utiifu

3: Nilivushwa na demu geti kali . Nilipitishwa kwa mlango wa nyuma ile kufika tuu room kwake nasikia upande wapili dingi yake anaongea kuuliza anasem yupo seblen ila hawezi sanuka maana hana mazoea ya kugonga room za mabinti zake.

Ase hii siku mwamba mtambo uligoma kusimama siyo kwa zile hofu za sauti za mzee wake, yani nilikua natetemeka kila mahali mithili ya mtu anayetaka kufa kwa baridi kali. Kila nikisikia sauti ya mzee wake inatokea seblen basi mimi kama panya natetemeka mbaya mpaka nahisi kukosa pumzi. Mwamba niliishia piga tuu vidole nyapu ya manzi kivivu ila demu alinielewa shida ni nini maana haikua kawaida yangu kutetemeka vile tukiwa viwanja.

WAKUU NASISITIZA TUU VIJANA TAFUTENI MAGHETO AU HELA ZA GEST KUVUSHA NA KUVUSHWA NI RISK SANA

Chanzo: comment namba 45
Ila uzuri hakuna mke wa mtu hapo
 
Kipindi nimehitimu form 6 nasubiria kwenda chuo. Kuna binti anaishi na dadake na mm naishi na bro kwenye nyumba za kupanga. Sasa ikatokea dadake hayupo kabaki yeye na watoto wa dadake na shemeji yake hayupo pia. Nikampanga akaelewa nikaingia nikala vyangu. Sasa kuna jirani nae alikua ana mtaka bwana. Akaja kugonga mlangoni muda huo nakula vyangu stimu zikakata. Jamaa aligonga lwa muda saana demu akafungua dirisha tu. Jamaa akawa anamtongoza demu akafunga dirisha mm nilitaka kucheka ila mikakizuia na mikono mdomoni. Jamaa akaondoka nikala vyangu tena. Ila sikukamatwa japo kuna snitch walihisi na wakapeleka taarifa kwa dada mtu.
 
Back
Top Bottom