Uliwahi kulilia mapenzi?

Uliwahi kulilia mapenzi?

Kuna lishangazi langu alikuwa ananiweka mjini, siku natemwa aisee nililia Sana mamaeee
Ni haki yako kulia Mbaga Jr πŸ˜‚πŸ€£.
Poor Brain, njoo umuone Dem wa Half american 😁😁
FB_IMG_17133012952891167.jpg
 
Hapa tu saiv nipo nalia, daam haya mambo haya wakuu acheni tu.
Yani nimevuta na kunywa sasa nalia mwenyewe tu. Kweli hivi si vyai.
 
Back
Top Bottom