Uliwahi kulilia mapenzi?

Uliwahi kulilia mapenzi?

Kwa scenarios nlizowah kukutana nazo siwez kulia, na sitakuja kulia.

Mimi kwenye maisha yangu huwa nawaamini sana watu pamoja na weakness zao, ila mimi huyu huyu kumkataa mtu siku moja wala sio ishue.

Okay ngoja nkupe mfano hai, i went on a date with this girl, ni kazuri and all that tulikuwa na back and fourth convo before we mate, the girl abit taller than i am and thats not a big deal to me sababu nimewah date na Lilian mtu mrefu kuliko mimi na ni mzuri kuliko huyu na ni controlling sababu ni mdogo wa mtu mmoja mkubwa, na tulikuwa tunaenda sawa mpaka mkubwa aliposema ni mkaushie mdogo wake.

Nliwah kumla miss namba mbili wa Mkoa mmoja wa kaskazini alikuwa mzuri kuliko yeye and i never brag about it. Anyways me na huyu mtoto mpya we where vibing and all that, mpaka tulipokutana live hapo ndio everything vikabadilika. Sijui what was the turn off ila huwa naamini vilibadilika for the best of both of. Me sijawah kujaji mtu wala kabila, na sijawah kuona huyu mtoto anakosea sababu ye anajipambania yeye and she deserve the best, na its okay for somebody her age kuwa na choices. Wakati anabadilika anajua kabisa me najua she is changing, the last call alipiga nlikuwa sinza na homies sehemu panaitwa the don tunakunywa some drinks nikamdanganya nipo home nimetulia sababu alisema anaenda mlimani nikisema niko sinza atataka labda tuonane na anazingua na sehemu nlokuwepo kulikuwa kuna watoto mpaka sijui hata nsemeje so ilikuwa ngumu kutubu kwake.

Nachojaribu kusema
1: mwanaume huwa hanagaa mwanamke mmoja wa kumsikilizia kazima uwe na sub.
2: usikubali kuwa second choice
3: akionyesha hakutaki achana ane kabisa
4: hayupo mwanamke mzuri kuliko wote, lazima atakuwa na bab kubwa yake
5: hela ni za kuwa nazo
6:love your self, live your life
7: the vice versa saikology works with W.
 
Nyuzi za leo za watu kuvurugwa 🤣🤣🤣
Kuna mwenzio mmoja katoka kufutiwa uzi wake muda sio mrefu alikuwa anatoa ushauri kwa wanaume wenzie..!!
Alisemaje 😂😂😂, me binadamu yeyote hata tukiwa tumezaliwa tumbo moja akiwa haelewi namkata kwenye mfumo wangu, sembuse mwanamke ninae mtaka nimemtongoza ukubwani ? Logic nzima ya mapenz ipo overated and sisi wahuni wa TORINO hatujali kabisa, we give zero f’s.
 
"I said I didn't feel nothing, baby, but I lied
I almost cut a piece of myself for your life"
💀
 
Alisemaje 😂😂😂, me binadamu yeyote hata tukiwa tumezaliwa tumbo moja akiwa haelewi namkata kwenye mfumo wangu, sembuse mwanamke ninae mtaka nimemtongoza ukubwani ? Logic nzima ya mapenz ipo overated and sisi wahuni wa TORINO hatujali kabisa, we give zero f’s.
Mambo ya vitu kuhema 😂
 
Jana tu nimelia. Nilikuwa nahisi kuanza kumchoka mwanamke wangu. Nilikuwa namtafutia visababu nimuache ila hakujaa. Akaja kujaa majuzi. Alifanya kosa la kupekua simu yangu kwa siri, akapiga picha vitu alivyokuwa na mashaka navyo akakaa kimya.

Zimepita siku kama tatu akaniita kwa unyenyekevu tu na kuanza kuniuliza,nilimtukana sana kwa kunipekua, na nilidhamiria itakuwa ndio sababu ya kumpiga chini kwakuwa nilihisi simpendi kama mwanzo. Aliniomba msamaha ila nilikaidi kabisa na kumpa maneno makali, ikumbukwe siishi nae.

Nimekuja kulia baada ya yeye kuniandikia sms ndefu sana akisema leo (ambayo ndio jana) kuwa ndio amepanda gari anaondoka kabisa kwakuwa nimegoma kumsamehe, ila akanikumbusha kuwa ananipenda sana. Kaamua kuondoka na kurudi kwao na kazi kaacha alipokuwa anafanyia. Nilihisi uongo japo roho ilianza kuniuma. Nikaenda kazini kwake kuhakikisha, sikumkuta na hakuna mwenye taarifa. Ikabd niende anapokaa, nikakuta kweli kaondoka na chumba kaachia.

Nililia sana, nikagundua nampenda ila kibri tu cha kumuona si chochote. Baada ya kumpoteza ndio naona thamani yake. Nilimpigia simu tukaongea, kasema ameamua kurudi kwao tu awe mbali na mm. Tumeshafanya mambo mengi na yeye, zawadi alizonipa, upole, ukarimu na utiifu wake kwangu ndio mambo yanayoniumiza. Rafiki zake walikuwa wakinieleza juu ya jinsi alivyokuwa ananipenda na kunielezea kwao.

Ikabidi nimuombe msamaha kwa kila kitu, nilimwaga machozi. Bahati nzuri amenisamehe na ameniahidi atarudi kwa ajili yangu.

Nimepanga kuishi nae, nimegundua ni mwanamke wa kipekee sana.
Daa mkuu ungefungua uzi kabsa maana umeongea kwa uchungu sana!
 
Yeah kutokuaminiwa....bora uniache nijue umeniacha ila siyo unaniaminisha upo nami afu huna imani nami....aisee....niache na mapungufu yangu tafuta mtakatifu.Hata ivo hatuishi daima na hakuna tutakachozikwa nacho🙏🏽
Pole kidoti
 
Back
Top Bottom