Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Vacation??? Mkuu tupeane maarifa basi acha uchoyo
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Nikafikiri chai kumbe live hahaha ni hatari
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Nikafikiri chai kumbe live hahaha ni hatari
Dem.alifuta whatsp hio nahisi hadi no alibadilisha akatafuta watu wapya [emoji16]
 
Status uchovu sana, depends na contact zinazoview status zako.. watu kipind tupo wanafunzi unapost picha za mock trial, mara upo field sehem kumbe watu wanaleta mzozo.. nshawah kosa dili sehem.. unamtumfuta mtu unamwambia sister nna shida na kazi anakwambia mimi nilijua una kazi na juzi nilipata chance za kazi kigoma ila nlivyokuona jinsi ulivyo nikajua hutoweza kufanya.. mazafaka
 
Utakuwa ulikuwa una ji upgrades sana kweny status
 
Ukizikamata lazima utuwekee status
Kwani me ndo wa kwnza kupata hela mpka nitambe kwa status..…???

Mkuu yahn nikutoe waswas kwa akili za zaman kweli mngapata tabu sana ila sahv nimekuwa mkubwa sina hzo mambo niko humble sana napenda watu wanione sina maisha vita vikali..........
 
Hizo habari unazitoa wapi au hao ni wake wenzako?
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji6]kauzu huyooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nshasahau mara ya mwisho ku view status za watu ilikua lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…