Uliwahi kuongea neno ukachekwa?

Uliwahi kuongea neno ukachekwa?

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Hii imenitokea Mimi leo asubuhi nilienda mgahawani kunywa chai Sasa pale kulikua na watu kadhaa,, kuna jamaa mmoja akawa anamsifia mdada fulani pale.

Sasa kilichofanya nichekwe nilimwambia yule jamaa WEKA NDANI nikimaamisha amuoe yule dada.

Aisee nilichekwa balaa, kuna dada akasema huogopi kutaja matusi asubuhi yote hii,, nikabaki nimeduwaa sielewi tusi nililotaja.

Kuna jamaa ndo akaniambia kua nilivyosema weka ndani watu wameenda extra mile. Kua msogoro uwekwe ndani,, nilifadhaika sana kiukweli.
 
Uzi tayari aisee maisha ni very simple usipocomplicate walahi utafika mbali maana una CONTENT
Kilichonikera ni kuona kwamba kila neno unaloongea lina tafsiriwa tofauti sasa hii lugha yetu mbona inageuka kua ya matusi tu???
 
Mimi nilienda kusajili line ya halopesa nikawaambia jina langu naitwa TOM na mzee anaitwa BANENI wacha waanze kuchekaaa.
 
Zile bangi umeficha wapi?
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Hii imenitokea Mimi leo asubuhi nilienda mgahawani kunywa chai Sasa pale kulikua na watu kadhaa,, kuna jamaa mmoja akawa anamsifia mdada fulani pale.

Sasa kilichofanya nichekwe nilimwambia yule jamaa WEKA NDANI nikimaamisha amuoe yule dada.

Aisee nilichekwa balaa, kuna dada akasema huogopi kutaja matusi asubuhi yote hii,, nikabaki nimeduwaa sielewi tusi nililotaja.

Kuna jamaa ndo akaniambia kua nilivyosema weka ndani watu wameenda extra mile. Kua msogoro uwekwe ndani,, nilifadhaika sana kiukweli.
Heheh kaka hii bongo watu akili zao zinawaza matatizo tu mda wote wazoee watu wa Tz watakuacha na a lot of surprises kila siku
 
Back
Top Bottom