Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Hii imenitokea Mimi leo asubuhi nilienda mgahawani kunywa chai Sasa pale kulikua na watu kadhaa,, kuna jamaa mmoja akawa anamsifia mdada fulani pale.
Sasa kilichofanya nichekwe nilimwambia yule jamaa WEKA NDANI nikimaamisha amuoe yule dada.
Aisee nilichekwa balaa, kuna dada akasema huogopi kutaja matusi asubuhi yote hii,, nikabaki nimeduwaa sielewi tusi nililotaja.
Kuna jamaa ndo akaniambia kua nilivyosema weka ndani watu wameenda extra mile. Kua msogoro uwekwe ndani,, nilifadhaika sana kiukweli.